PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo huyu bibie ndio kawaporomoshea mtusi ...
Poleni mashabiki wake....
Polisi kimyaaaa...na mtu kalimwaga..kisa anamtetea mama...
 
Kuna majibu unaweza kujibu,lakini sema tu tunalindwa na maadili.
Kwa ufupi hakuna asiyefanya kazi,kila mtu anafanya kazi na kupata anachostahili.
Lakini Kuna kazi ambazo wenzetu usiku mmoja anaingiza pesa nyingi bila mashabiki sana sana shabiki anakuwa ni mmoja tu...
 
nani asiyepata riziki ?

shauri watu wasikate tamaa sio kuwatukania mama zao hilo ni kosa anatakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka
 
Akina TL,mdude,deusdedith Soka na wengineo waliopata matatizo walikuwa hawafanyi kazi?
 
ashukuriwe puff daddy alipomfikisha ndgyetu japo nikosa Kwa Sheria za nchi

maneno yake, nanukuu tulifanya mengisana na pdd tlivyoenda kwake Kuna ya kusema na sio yakusema
 
Sawa DOMO, tunaanza kazi na wewe!
Utakula maneno yako!
Subiri uone!
 
Kweli kabisa, ukifanya research ya watu wanaowafatilia Hao wasanii utagundua vichwani hamnazo na watu wa upinde

Ova
Screenshot_20250904-191437.jpg
 
Back
Top Bottom