G
guest-1790917349
Guest
Wengi tu wanem unfollow ni vile tu Alikuwa nao wengi ndo maana huwezi kuona effect Kwa haraka ila wale wenye followers ambao hawakufika ht M effect ilioneonekana kubwa mpk wakalalamika ,hapa naongelea kipindi mange ameanza kuwaambia vijana waache kufuatilia kiki za wasanii wa focus kwenye nchiiKati ya watanzania milioni mbili, ni wawili tu wanaweza kum-unfollow diamond. Trust me bro
Km Ayo x peke yake alipoteza watu zaidi ya laki 3, YouTube ,Kila mahali SS wadogo hao?
Ila sbb anakuwa na follower 3M Kwa mfano, huwezi kuona effect Kwa haraka
Haya jana Tena baada ya hiki wakasnza Tena kuhamasishana...taratibu watafika tu 😅