PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi.

Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------

ANATAKA WOTE TUUZE MADAWA YA KULEVYA KAMA YEYE?
NANI HAJUI KWAMBA DAIMONDI ANASHIRIKIANA NA WAKUBWA KUUZA UNGA?
KAMA NI MZIKI HUO MZIKI DAIMONDI ALIIMBA WAPI
 
Kwa hyo mke wa Pdiddy ndo akatu tukania na mama zetu...ety.

Hv hamna wachawi jmn...mbona tunapigwa nje ndani
 
Nimemtafakari huyu kijana wa tandale ni kijana ambae bado ni maskini wa fikra na kukosa elimu. Diamond ni mfano halisi maskini akipata matako ulia mbwata.
Na lazima yalie mbwata kutokana na dushe la P.Didy alilokutana nalo. Huko nyuma yuko nyang'a nyang'a
Wewe unamtukana diamond una nini cha kujivunia? Hujulikani, huna hela, masikini.
 
Mtu yoyote yule anayefaidika na system ya serikali hawez lazma Asifie tuu. Na anasahau hii ni Nchi yetu sote na kama kuna mambo hayaend sawaa bas tukae kimyaaa tuuu
Kuna watu wanafaidika na system lakini wapo kimya kukaa kimya ni Jambo la busara sana ukiongea utakaribisha watu kukuchunguza diamond ukimchunguza vizuri lazima alishawahi kuuza Unga au kubeba mpaka amefika pale angetulia ukiwa unakula nyamaza
 
muslims wa tanzagiza wako hivyo, inaelezea mkwamo uliopo kama nchi kwa sasa, wako sooo out of touch na reality ndiyo maana wanashindanishana ma royce rolls kwenye mji ambao kuna watoto wanalala barabarani bila hata ya chakula na haiwagusi wala kuwasumbua …
 
Back
Top Bottom