PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.

Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.

Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.

Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Kwahio miaka mingapi walokuwa nae TAL alikuwa anakusanya kodi yeye ili kuwaletea hayo maendeleo?
 
Huu ni ujumbe waKISIASAalioutoa diamond platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi..
Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------
View attachment 3461866

N.b. Mod huu ni ujumbe wa kisiasa msihamishe jukwaa
huyu devil worshipper anasemaje. yeye kufanya maagano na mashetani na kwenda kwaDiddy anajiona mjaanja?!

shoewine!
 
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Kwahiyo ukimuunfollow unadhani anapungukiwa na nini au ndiyo hasira ya mkizi
 
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Diamond ameshasimama hawezi kuathirika na wewe Ku-unfollow page yake.
 
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Toa upumbavu wako,usanii ni burudani utachagua au usichague lakini haimzuii mtu kumchagua itikadi na dini yake.

Mbona himsemi Roma ,Ney ila unaonNongwa Kwa Mondi et all?

Fanyeni kazi upuuzi wa kina PLPL hautawasaidia kamwe.
 
Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.

Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.

Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.

Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Sie wakulima ndio Basi tena. Tunayo mengi kuliko kundi lolote. Wanasiasa wametuvamia na Bei zao za kujitajirisha wao na wakituacha tumepinda mgongo. Wanapanga Bei ya mazao ili hali wao ndio wanunuzi kupitia mawakala wao. Ukulima Tanzania ni kukubali kunyonywa.
 
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Kwa bahati mbaya sana, ameshakua tajiri na investment sake Za ndani na nje zimemfanya awe secured

Vipi weye?
 
Watu wanataka haki, hizo habari za kazi yeye zinamuhusu nini?, amesahau kuwa hata yeye alishawahi kulalamika kukatwa kodi nyingi, ikapelekea mpaka kuchelewesha mishahara pale wasafi?, , yaani kisa uongozi wa sasa anaelewana nao ndio wanaolalamikia uongozi huu waonekane wavivu au? , wasanii wakitanzania ni wapumbavu sana, na sasa hivi wasanii watakosa kabisa bond waliyokuwa nayo na mashabikii zao ambao mara nyingi ni hawa watanzania wakawaida.
 
Back
Top Bottom