Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Waandishi Wa habari wamekosa picha ya diamond akikamatwa na kuachiwa na polisi.
Tumeambiwa tu juu juu.kwamba diamond kakamatwa.na sasa kaachiwa.
KIFO CHA DAUDI BALALI.
Daudi alikufa au anaishi. ....mond anaishi au amekufa?
 
Sio siri diamond inabidi apewe funzo kwa kula hata miez mitatu jela mana jamaa amejipa nafasi ya kufanya ujinga wowote hapa nchini afu kwenye interview anajiita kioo cha jamii.
thubutuuúuu hapo fain haizidi lako tano
 
Waandishi Wa habari wamekosa picha ya diamond akikamatwa na kuachiwa na polisi.
Tumeambiwa tu juu juu.kwamba diamond kakamatwa.na sasa kaachiwa.
KIFO CHA DAUDI BALALI.
Kwani lazima muone picha?
 
Back
Top Bottom