Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Mtoa maada achana na hawa wapiga keleleambao hawajui chochote juu ya ukuaji wa media
Diamond kwenye media atashindwa vibaya!

Utashindwa wewe nyie ndo mapepo mnaokemewaga. Watanzania wivu umezd. Ivi unapata wap ujasir wa kumuombea mwenzio mabaya? Asee inawezekana mi sio mtanzania coz roho mlionayo mi cnaga
 
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.

Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .

Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.

WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.

NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",

Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
nenda kafanye day waka, upate hela yakununulia mke wako na watoto wako unga! hayo mengne hayana nafasi ya kujenga maisha yako
 
unajua kama ruge na THT yake walimkataa diamond kuwa hajui kuimba mwaka 2007? hana vigezo vya kujiunga THT
Yeye sio wa kwanza kukataliwa kuna mayunga bele 9 na wengine wengi tu
 
Kwq hiyo unakaa kusubiri hiyo siku ifike, ufurahie utabiri wako?
Mkuu soma post yangu vizuri hakuna sehemu nimesema atashuka ki mziki nilicho linganisha Mimi ni CLOUDS fm na wasafi fm swala la yeye kuwa tajiri kuwa masikini au kushuka kimziki sija lizungumzia
 
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.

Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .

Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.

WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.

NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",

Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Daaah kwa hyo una subiri Diamond aanguke ndio ufurahie kweli mzee una roga mchana kweupeeee
Hii tuna ita Dua la Kuku hali mpati mwewe
 
Clouds Media group
Nnachoamini Diamond platnumz ni kama maji hayakwepeki,hata pale Clouds kuna watu wanamkubali sana jamaa ila tatizo uongozi ndo ushabana kwamba hakuna kucheza nyimbo yoyote ya jamaa.
Nilishangaa sana kuona hadi nyimbo ya Navy Kenzo-Katika,haichezwi kwenye Clouds fm wala tv kisa tu mchizi yumo ndani.
CLOUDS fm ndo station ambayo ina maadui wengi sana ila wale jamaa wamejipanga na wapo vizuri kwenye suala zima la entertainment kwa East Africa
 
Hii style take ya kupiga nyimbo bila kubagua ni moja ya makaburi ya kuifukilia clouds
 
Labda kama ameanza kufilisika... Lakini kama bado anazidi kupiga pesa... Hilo Dua lako sahau kabisa kupata majibu...
 
simpendi diamond wala hao wcb " lakini nakwambia mtoa mada acha kukarili " maisha ... Maisha yanakwenda kasi Sana so huu sio ule wakati wa ujima huu ni wakati wa social network na platform kibao "... na msanii kama diamond nguvu yake kubwa haswaa ipo huko " hata jide na yeye Nguvu yake ipo huko " ndio maana umeona jide katoka kufanya show ambayo ilifanikiwa 90% huku akiwa hana hata nyimbo mpya ... kwa sababu anamtaji mkubwa wawatu " katika social platform .. diamond kaweza kujitangaza huko zaidi so nivigumu mnoo kumtoa nje ya mstari
 
pwilo, mtani wa Jadi hii ni 2018 tunaelekea 2019 bado upo kwenye mawazo ya 2014? Kabla wewe hujawaza hili leo yawezekana Diamond na menejiment yake waliliwaza miaka miwili iliyopita wakajipanga. We endelea kusubiri tu wenzio wanafanya kazi na kuzidi kuweka mizizi.
 
Utashindwa wewe nyie ndo mapepo mnaokemewaga. Watanzania wivu umezd. Ivi unapata wap ujasir wa kumuombea mwenzio mabaya? Asee inawezekana mi sio mtanzania coz roho mlionayo mi cnaga
Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa

Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
 
Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa

Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Afadhali mku unisaidie kuwaelewesha mi hapa naongelea CLOUDS fm na wasafi fm yani mkuu mada umeiyelewa kweli kweli wengine wanachangai tofauti na nilichoandika
 
Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa

Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Hebu tupe mfano wa wasanii wabunifu na wenye pesa walio mshinda diamondplatnumz kimafanikio mkuu tuwafahamu
 
Hebu tupe mfano wa wasanii wabunifu na wenye pesa walio mshinda diamondplatnumz kimafanikio mkuu tuwafahamu
Naongelea mafanikio ya ki media wewe unaongelea mafanikio ya kimziki vinaendana?
NB:watu wenye status ya senior huwa weupe kwenye mada nyingi hapa jukwaani
 
Back
Top Bottom