The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Mtoa mada amekula maharage ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa maada achana na hawa wapiga keleleambao hawajui chochote juu ya ukuaji wa media
Diamond kwenye media atashindwa vibaya!
nenda kafanye day waka, upate hela yakununulia mke wako na watoto wako unga! hayo mengne hayana nafasi ya kujenga maisha yakoKwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.
Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .
Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.
WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.
NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",
Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Mkuu soma post yangu vizuri hakuna sehemu nimesema atashuka ki mziki nilicho linganisha Mimi ni CLOUDS fm na wasafi fm swala la yeye kuwa tajiri kuwa masikini au kushuka kimziki sija lizungumziaKwq hiyo unakaa kusubiri hiyo siku ifike, ufurahie utabiri wako?
Daaah kwa hyo una subiri Diamond aanguke ndio ufurahie kweli mzee una roga mchana kweupeeeeKwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.
Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .
Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.
WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.
NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",
Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
CLOUDS fm ndo station ambayo ina maadui wengi sana ila wale jamaa wamejipanga na wapo vizuri kwenye suala zima la entertainment kwa East AfricaClouds Media group
Nnachoamini Diamond platnumz ni kama maji hayakwepeki,hata pale Clouds kuna watu wanamkubali sana jamaa ila tatizo uongozi ndo ushabana kwamba hakuna kucheza nyimbo yoyote ya jamaa.
Nilishangaa sana kuona hadi nyimbo ya Navy Kenzo-Katika,haichezwi kwenye Clouds fm wala tv kisa tu mchizi yumo ndani.
hahaaMwacheni ale pesa kijana wa Watu. Kumbukumbu yangu inakumbuka jamaa hajaanza leo kuombewa njaa,matokeo yake anatusua tu.
Dua hili hata kuku hawapigiMwacheni ale pesa kijana wa Watu. Kumbukumbu yangu inakumbuka jamaa hajaanza leo kuombewa njaa,matokeo yake anatusua tu.
Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!Utashindwa wewe nyie ndo mapepo mnaokemewaga. Watanzania wivu umezd. Ivi unapata wap ujasir wa kumuombea mwenzio mabaya? Asee inawezekana mi sio mtanzania coz roho mlionayo mi cnaga
Afadhali mku unisaidie kuwaelewesha mi hapa naongelea CLOUDS fm na wasafi fm yani mkuu mada umeiyelewa kweli kweli wengine wanachangai tofauti na nilichoandikaPumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa
Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Hebu tupe mfano wa wasanii wabunifu na wenye pesa walio mshinda diamondplatnumz kimafanikio mkuu tuwafahamuPumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa
Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Naongelea mafanikio ya ki media wewe unaongelea mafanikio ya kimziki vinaendana?Hebu tupe mfano wa wasanii wabunifu na wenye pesa walio mshinda diamondplatnumz kimafanikio mkuu tuwafahamu