Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Huwa nawakubali sana FA na AY muda mwingi wapo simple kuanzia lifestyle, mavazi hata unywaji. Hawanaga ushamba mwingi kwenye appearence.
Ndo mana hawajawa level za diamond , hzo level zinahtaj ufanye visa vya hapa na pale....ukiwa normal na mambo yako yanakuwa normal...Diamond kachamgamsha biashara ya mziki hapa bongo
 
Mnapenda sana kudandia mambo aisee,Billion 5 unaijua ww au unaongea tu!!
 
Hapa watamponda Sadala ila kesho unaweza ukakuta wao wanalilia kufanya Collabo na Wiz.

Nakumbuka Diamond alivyo enda kufanya Collabo na Davido ,baadae kidogo akaenda kwenye sherehe iliyo andaliwa na P Square wakaponda "...anajipendekeza........anapenda shobo........." hatimae jamaa akapata Collabona Psquare.Leo nao wakarudia kilekile wamesafiri kwenda Nigeria na hatimae wamepata Collabo mmoja wa wasanii wa P Square.
 
Kwani ye kasema amevaa Cheni OG au ni viherehere tu vya waganga njaa.
 
Hata hiyo ya swizz beat inaweza kuwa fake tu siwaaminigi hawa wasanii.
 
Saa Billion 5!? Au typing errors!?
Inaweza kuwa kweli maana Mayweather amenunua saa ya almasi japani Kwa USD milioni 18........SASA hapo kibongo bongo si tayari mtaji WA kampuni na wafanyakazi lundo ...........lakini yeye kanunua saa moja tena hata MKONONI aijai vizuri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ