Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Ni kama tu ushamba wako wa kuzani kila mtu anatumia tecno/infinix kama wewe
 
Macheni na mapete yote hayo matokeo kaonekana Kama midoli wa wahindi.
 
Kwaio hapo au kina richard mavoko sijui miller,mbona hawajamtaja diamond?
 
Diamond ndo kioo cha jamii , sa hv hata akijamba , media zote zinaongelea , wapo watakaosifu na wapo watakaoponda ...
 
msamehe bure. kwa kuwa anaishi marekani basi anadhani kila atakacho zungumza kuhusu maceleb wa kimarekani kitakuwa genuine na tutakiamini.

mtu kama Nas avae cheni mdosho kwasababu za kijinga eti symbolic!!?....ku symbolize nini?.
hapana aise, babu Kiranga umetulisha tango pori. najua sio kosa lako,kosa lako ni umri. umri umesonga huo mzee, ndio maana umetaja watu wa generation yako ikina LL Cool J, Slick Rick, Big Daddy Kane, Heavy D.[emoji1787][emoji1787]

mijadala mingine ipotezee, waachie vijana.[emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ you're not serious mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ you're not serious mkuu
Ungekuwa serious ungejibu kwa mifano, angalia album covers za hao watu niliowataja na picha zao, halafu tujadili kwa fact.


 
Si muumini wa fake jewelry au vito kwa ujumla lakini swali langu kwako kama wanaweza tundika vito fake inakuwaje kwenye magari waliyo nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…