Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

Ukisikia dharau za mtu unamdai lakini ndo kwanza anazidi kunenepa ndo hizi wanazofanya Wasafi!

TCRA msikubali, hawa madogo hawawezi kuwaletea dharau namna hii bhana! Yaani mnawapiga ban lakini badala ya kusikitika ndo kwanza wanaenda kula bata na kuwaoneshea live, aaaaaaaaaargh!!!
 
Sema hutu tuvijana twa Wasafi tushirikina sana

Hatutegemei airtime kuishi
 
Salute kwa masudi kutuletea maisha plus
 
Ukisikia dharau za mtu unamdai lakini ndo kwanza anazidi kunenepa ndo hizi wanazofanya Wasafi!

TCRA msikubali, hawa madogo hawawezi kuwaletea dharau namna hii bhana! Yaani mnawapiga ban lakini badala ya kusikitika ndo kwanza wanaenda kula bata na kuwaoneshea live, aaaaaaaaaargh!!!
Kwa hiyo wakatae kwenda kupiga seminar for 7 days na kuvuta posho ya 120,000 per day?
 
Ukisikia dharau za mtu unamdai lakini ndo kwanza anazidi kunenepa ndo hizi wanazofanya Wasafi!

TCRA msikubali, hawa madogo hawawezi kuwaletea dharau namna hii bhana! Yaani mnawapiga ban lakini badala ya kusikitika ndo kwanza wanaenda kula bata na kuwaoneshea live, aaaaaaaaaargh!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom