Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

Hii inaweza kuwa Marketing Strategy Ya Kutangaza Hotel Yake Mpya. Lakini Kwa Hizi Siku 4 WASAFI TV imekuwa Ikifuatiliwa sanaaaaaa kuliko kipindi chochoteer. so TCRA ni Kama Wamempiga Teke Chura kila mtu anataka kufuatilia maisha ya watangazi
Mwenyewe nahisi ni mipango si bure
 
Unataka kuniambia maulidi kitenge,Ahmed Abdullah, Charles William,lil ommy, George ambangile,Edo kumwembe,binti Suleiman,Yusuph mkule hawajasoma uandishi wa habari?
taja apa elimu zao pia elimu za na akina Dida, Baba levo, sijui nani yule aliyempiga mtama mtu stejini
kimsingi kwa mujibu wa The Media Service Act, No. 12 of 2016 hawastahili kuwa watangazaji
 
taja apa elimu zao pia elimu za na akina Dida, Baba levo, sijui nani yule aliyempiga mtama mtu stejini
kimsingi kwa mujibu wa The Media Service Act, No. 12 of 2016 hawastahili kuwa watangazaji
Ulivokomaa na Hizo diploma za Uandishi wa Habari mwisho utataka walinzi wa geti.. wahudumu ... wafanya usafi wa Wasafi wote wawe na diploma ya uandishi. Wengine ni washehereshaji tu kunakua na professional mmoja katika kila kipindi chunguza Utaona. Unataka wawe kama redio one...!!!!
 
Hiv karibuni wasafi FM ilifungiwa kutokana na kosa la Baba levo kuongea lugha fulani ambayo sio nzuri kwenye kipindi. Baada ya media kufungiwa boss wao Diamond Platnumz ndo kwanza akawapeleka Wafanyakazi wake wote wa media sehemu ya kula bata na kurelax hiyo sehemu wakaiita "Wasafi village" na ilitegemewa labda akasirike au ampanish Baba Levo lakini ikawa tofauti.

Baada ya kufika hilo eneo Diamond akatoa speech kwa wafanyakazi wake kwanini amewaleta hapo namnukuu " baada ya sisi kufungiwa najua itakuwa imewaudhi kikubwa lakini nimewaleta hapa Ili mtulize akili zenu lakini nitawaleta maofisa wa TCRA kutoa elimu kwenu na taratibu za kanuni za media ili next time lisijirudia Tena".

Baada ya hapo akamwita Baba Levo aombe msamaha kwa watanzania na kwa wafanyakazi wake ili kuweka mambo sawa.

Maisha ya wafanyakazi wa Wasafi kwenye Wasafi Village wamekuwa wakirusha live kupitia YouTube pamoja na Wasafi Tv ambako hapajafungiwa. Nimependa sana hii idea inatufanya tujue tabia za wakina George Ambangile nje ya kuchambua mpira anakuaje? Binti Suleiman Yuko VIP n.k

Binafsi nimependa vimbwanga vya mzee Mbwela huyu mzee ana vituko Sana pamoja na Baba Levo.

N.B Namna alivyofanya Diamond inasaidia Sana wafanyakazi kutengeneza bond lakini pia kujuana zaidi ndio namna ambavyo boss uwe hivyo. Hii pia inasaidia mfanyakazi kujisikia anajariwa.

Big up kwa hii kitu.
Diamond is the best CEO utasema ana Ph.D aisee huyu dogo is naturally blessed with skills
 
taja apa elimu zao pia elimu za na akina Dida, Baba levo, sijui nani yule aliyempiga mtama mtu stejini
kimsingi kwa mujibu wa The Media Service Act, No. 12 of 2016 hawastahili kuwa watangazaji
Dida ana diploma ya maswala ya habari aliyoipata DSJ ,nakumbuka alizungumza kipindi cha Mkasi akihojiwa na Salama .
 
Back
Top Bottom