Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

TCRA wametoa adhabu nogo sana, uswahili unaaribu watoto wetu, ingefa kukatiwa rufaa nakuongezwa hiyo adhabu
 
Kwamba Mondi 'atawaleta' maafisa wa TCRA kambini hapo kutoa elimu kwa Wasafi!

Hizi ni dharau, ila sishangai.
Sijaona dharau yoyoye iyo regulatory tunailipa sisi wanananchi kwa kodi ili kulinda content za media na vitu vingine tunavyolishwa consumers sisi ni maboss wao ivo, Diamond yupo sahihi kuwaleta hao maofisa hapo Wasafi village mana elimu watakayotoa sio tu itakuwa kwa hao ma presenters wa Wasafi bali itatufikia Watanzania wengi kwa sababu tayari event imesha grabbe antention, Diamond yupo vizuri sana na kila tatizo kwake analiona fursa na kucreate more, Kijana anaitazama dunia kwa jicho la tatu haswa, Kongole kwako Nasibu
 
TCRA wametoa adhabu nogo sana, uswahili unaaribu watoto wetu, ingefa kukatiwa rufaa nakuongezwa hiyo adhabu
jaji mfawidhi Wakitoa adhabu nyingine na Bata litazidi kuendelea kwasababu kitendo Cha kula ban Wasafi wametumia Kama fursa ya kibishara wanarusha live maisha ya watangazaji wao na wameshapata wadhamini si chini ya 5 imekuwa Kama big brother hivi
 
Na kizuri pia watanzania wameipokea vizuri idea yake na wanataka iwe endelevu isiishie tu kwenye hii ban kazi kwake Diamond
 
Hii inaweza kuwa Marketing Strategy Ya Kutangaza Hotel Yake Mpya. Lakini Kwa Hizi Siku 4 WASAFI TV imekuwa Ikifuatiliwa sanaaaaaa kuliko kipindi chochoteer. so TCRA ni Kama Wamempiga Teke Chura kila mtu anataka kufuatilia maisha ya watangazi
 
Na me nilikuwa nafikiri Kama wewe inaweza ikawa kweli Ni strategy ya kutangaza hoteli yake
 
Yan Leo baba levo anaajiriwa na Domo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila baba levo si ndio yule wa wachuja nafaka alieimba na necha Radhia wangu wewe namba one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…