Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

Wacha wapumzike kisela na si mbaya wakikulana maana wote wakubwa hao
 
Nzur hiyo wafanyakazi mbali na kuwaza ujinga hii uwafanya wajione wapo mahali salama kwa kazi
sasa wangekuwa kk security mmhhhh wangejuta maana mnmhh kampuni zetu zingne hizi ukifanya kosa tu barua mezani tutaonana Mungu akipenda
 
Kwahiyo ukiishi vizuri na wafanyakazi wako unamuiga Jo sio?
Hivi shule mlienda kusomea UJINGA?
watafika sehemu watasema hata pumzi ni ya Jo maker..kumbe ni mshenzi mmoja hivi hevi kweli huyo jo atambulike sana kuliko msingi walioweka akina Mengi jamani ...marehemu mengi kasaidia wanagapi jamani tuwe wakweli>????mwangalie seki leo katokea wapi???lakini kila kitu utasikia anamuiga jo maker kumbe ni mshenzi mmoja tu
 
Badala awapeleke chuo wakasomee hata diploma anawapotezea muda.
kwa mujibu wa sheria %95 ya wafanyakazi wa wasafi fm hawanana sifa na vigezo vya kuwa watangazaji kwani hawana elimu hiyo
 
uko
ni kuwapotezea mudah ao vijakazi wake namshauri ni bora akawapeleka chuo hao wafanyakazi wake kama anawapenda sana wakasommee hata diploma ya uandishi wa habari manake wanaropoka sana wanapokuwa studio ,vipindi vingi vya wasafi vimekuwa kama kijiwe cha umbea cha kiswazi
 
Unataka kuniambia maulidi kitenge,Ahmed Abdullah, Charles William,lil ommy, George ambangile,Edo kumwembe,binti Suleiman,Yusuph mkule hawajasoma uandishi wa habari?
 
Badala awapeleke chuo wakasomee hata diploma anawapotezea muda.
kwa mujibu wa sheria %95 ya wafanyakazi wa wasafi fm hawanana sifa na vigezo vya kuwa watangazaji kwani hawana elimu hiyo
Badala awapeleke chuo wakasomee hata diploma anawapotezea muda.
kwa mujibu wa sheria %95 ya wafanyakazi wa wasafi fm hawanana sifa na vigezo vya kuwa watangazaji kwani hawana elimu hiyo
Punguza GUBU kinega
 
chibu ni mtu wa fursa sana, imagine hadi makosa ya wafanya kazi anayafanya fursa ya kujibrand
Mi nahisi ni mipango jamaa hakutukana kwa makosa.......mipango ile maana kwa kiki tu hawajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…