Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

Toa ww nyimbo kama unaona simpo au hupendi pesa
Kashaingia baridi baada ya harmonize kuitisha free event mbagala zakheim, Harmonize bingwa wa fitna sasa hivi maamae hana nyimbo ya kutoa analeta drama
 
Kashaingia baridi baada ya harmonize kuitisha free event mbagala zakheim, Harmonize bingwa wa fitna sasa hivi maamae hana nyimbo ya kutoa analeta drama
Punguza mahaba, elezea mambo kwa uhalisia wake.
 
Kabisa, tuone kesho kama hataongea mambo ya harmonize, nakumbuka mwanzoni kabisa niliandika humu harmonize kapeleka milioni 600 WCB tena cash ikiwa kwenye buti ya BMW X6 Diamond akakataa kupokea watu wakanishambulia sana...mwezi mmoja baadae harmonize kaja kuthibitisha milioni mia tano na ushee baada ya majadiliano
Kumbe Konde alisema kashalipa milion 500 hv?
 
Lakini diamonf huwa hana tabia ya kuzungumzia watu wanaoondoka wasafi
 
13 mega pixel

Akiongea ni jukumu lake la kuondoa kashifa,note kama huyo mpumbavu mwenzako angepeleka 600m asingelilia kila kimedia kwamba kauza nyumba ili alipe 500m,come on child unazania umbumbu wako wa kigongo wazi tutaelewa wahuni,so be carefully with your heart go and sleep ebooooooh tutolee hapa mfyuuuuuuu
 
Alaah, ngoja uone watu wenye talents za figisu wengi mlikua mnasubiria downfall ya konde boy ila ndio hivyo mmeshafeli...diamond anatafuta relevance tuu kwa sasa
Mmmmmmmmmmh mtu mwenye kuzidiwa kila kitu aje amtishe king him self diamond, we jamaa usiwe unakula bangi mbichi kupitia mdomo hayo ndo mazara take hilo limachinga Hamna kitu toa pumba zako zimezochanganywa na mashudu OK,be carefully with your heart go and sleep ebooooooh.
 
Hata mimi bado ni mwanafunzi kwa mwalimu wangu wa primary, ila harmonize kashavuka izo level
Acha ufala na hugo bwana wako huyo mmachinga anazidiwa tu na mbosso ndo umlinganisge na Simba ahaaaaaaaaaaah come on ganja man,so be carefully with your heart go and sleep ebooooooh
 
Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini.

Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy?

Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).


Hakuna jipya zaidi ya Tamasha lake tu la wasafi festival DSM.
 
Back
Top Bottom