upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Mkuu umeongea point sn ila nahic vilaza wameongezeka sn jf hakun ht m1 aliekueleza...nahic tuna tatizo la wambea wa insta kuamia jf wanabwabwaja 2 badala ya kuanalyse vi2 critical na sensitive....ili dokezo lako linaweza kua na ukweli ndani yake.. time will tell so 2we na subira kidogo
Siku ya kwanza tu Harmonize kajitoa nikawaambia watu hapa kuna mchezo,watu wanataka matamasha yote mawili Wasafi festival na Fiesta yafane na njia pekee ni kutengeneza mpinzani fake wa Diamond baada ya Kiba kuonekana hana jipya.
Hapo ndipo chaguo likawa Harmonize na ghafla anaenda kuwa face of Fiesta.
Huyu Kusaga ni mjanja sana,naamini kwa dhati kabisa kuwa ana mkono wake Wasafi FM hivyo mpinzani wa ukweli wa Clouds ni E Fm tu.