Sio mmoja ya watu waliowahi kusubiri downfall ya yeyote hata kama ni adui yangu sembuse ya hao ambao sijawahi kufahamiana nao in person,Never!
Je wajua konde amechelewa sana kupata mashabiki wake mwenyewe? mpaka kipindi fulani tulipenyeza maoni usafini kuwa ufanyike mkakati maalumu wa ku rectruit mashabiki wa konde na Rayvanny, hii ilikuwa before mboso, Lavalava na nani sijui yule hawaja sign wasafi? Rayvanny na konde ni watu waliobebwa na mashabiki wa DP kwa muda sana mpaka mzigo wa kutoa support ukawaelemea mashabiki, hivyo usifikiri Konde au yeyote ana Jeshi kubwa kiasi aweze kufanikisha fitna dhidi ya wasafi. Jeshi lake ni dogo sana, anatakiwa akaze sana kusimamisha jeshi lake kama lile lililo nyumba ya DP, uzuri amepata bahati ya kukokota pia haters wa DP the same kilichokuwa kinatokea kwa kiba. DP sio mwepesi anaweza kuacha kuimba leo hii lakini ataendelea kuwa na influence kwa muda mrefu sana, kum- underrate ni kujipa moyo tu.