Kashaingia baridi baada ya harmonize kuitisha free event mbagala zakheim, Harmonize bingwa wa fitna sasa hivi maamae hana nyimbo ya kutoa analeta drama
Punguza mahaba, elezea mambo kwa uhalisia wake.Kashaingia baridi baada ya harmonize kuitisha free event mbagala zakheim, Harmonize bingwa wa fitna sasa hivi maamae hana nyimbo ya kutoa analeta drama
kumtetelesha ndo nini? wewe ni la nne la mkoloni? sema kumtetereshaHivi kweli mtu mzima mwenye akili zake unaweza kuamini Konde Boy anaweza kumtetelesha Chibu..!!!!
Kumbe Konde alisema kashalipa milion 500 hv?Kabisa, tuone kesho kama hataongea mambo ya harmonize, nakumbuka mwanzoni kabisa niliandika humu harmonize kapeleka milioni 600 WCB tena cash ikiwa kwenye buti ya BMW X6 Diamond akakataa kupokea watu wakanishambulia sana...mwezi mmoja baadae harmonize kaja kuthibitisha milioni mia tano na ushee baada ya majadiliano
kumtetelesha ndo nini? wewe ni la nne la mkoloni? sema kumteteresha
Sorry your wish can't be true..Kashaingia baridi baada ya harmonize kuitisha free event mbagala zakheim, Harmonize bingwa wa fitna sasa hivi maamae hana nyimbo ya kutoa analeta drama
Yaani wewe hata kuanza na herufi kubwa mwanzoni mwa sentensi na baada ya kituo hujui halafu unamkosoa jamaa. Kweli nyani haoni kundule.kumtetelesha ndo nini? wewe ni la nne la mkoloni? sema kumteteresha
Toa ww nyimbo kama unaona simpo au hupendi pesa
Sorry your wish can't be true..
tutolee ushoga wanaume hapa hakuna kama diamond kwa wasanii,wote hao ni wababaishajiKashaingia baridi baada ya harmonize kuitisha free event mbagala zakheim, Harmonize bingwa wa fitna sasa hivi maamae hana nyimbo ya kutoa analeta drama
Mmmmmmmmmmh mtu mwenye kuzidiwa kila kitu aje amtishe king him self diamond, we jamaa usiwe unakula bangi mbichi kupitia mdomo hayo ndo mazara take hilo limachinga Hamna kitu toa pumba zako zimezochanganywa na mashudu OK,be carefully with your heart go and sleep ebooooooh.Alaah, ngoja uone watu wenye talents za figisu wengi mlikua mnasubiria downfall ya konde boy ila ndio hivyo mmeshafeli...diamond anatafuta relevance tuu kwa sasa
Acha ufala na hugo bwana wako huyo mmachinga anazidiwa tu na mbosso ndo umlinganisge na Simba ahaaaaaaaaaaah come on ganja man,so be carefully with your heart go and sleep eboooooohHata mimi bado ni mwanafunzi kwa mwalimu wangu wa primary, ila harmonize kashavuka izo level
Toka hapa utakula ban halaaa ,kazi kujikomba mpuuzi mmoja hivi,so be carefully with your heart go and sleep eboooooohMbona kama umepanic braza, kwani kuna mahali nimesema mimi ni msanii
Daaaaaaah hili lijamaa liganja kweli maana sijui limega pixel Nokia tochi au garasa,daaaaaah so sad elimu haina mwisho bro kasome upya ndo utaelewa,so be carefully with your heart go and sleep eboooooohLets wait and see..
Hakuna jipya zaidi ya Tamasha lake tu la wasafi festival DSM.Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini.
Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy?
Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).