Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi


Siku ya kwanza tu Harmonize kajitoa nikawaambia watu hapa kuna mchezo,watu wanataka matamasha yote mawili Wasafi festival na Fiesta yafane na njia pekee ni kutengeneza mpinzani fake wa Diamond baada ya Kiba kuonekana hana jipya.

Hapo ndipo chaguo likawa Harmonize na ghafla anaenda kuwa face of Fiesta.

Huyu Kusaga ni mjanja sana,naamini kwa dhati kabisa kuwa ana mkono wake Wasafi FM hivyo mpinzani wa ukweli wa Clouds ni E Fm tu.
 
Huyo mwarabu alikuwa na impact gani pale. Embu kuwa serious.
Yaani una kuku wawili mmoja anataga mayai 10 mwingine anaishia mawili. Kaja mgeni umchinje anayetaga 10 si utakuwa wendawazimu. (Hakukua na ugumu wowote kumuondoa huyo mtunisha misuli)

Hakuna cha figisu game ni usimamiaji na mbinu za kibiashara. Yaani mtu unaondoka kwenye lebo kubwa unaenda kwa mtu anaitwa Jembe ni jembe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Domo ana mameneja watatu mmoja akiwa wa nje. Tafakari tu hilo utajua kuwa Domo akili kubwa sana.
 
Domo ameshaongea huko?,wengine tuko mbali na tv/radio tusaidieni kasemaje
 
Hajakwenda kwa Jembe ni jembe. Jembe ndo kaja kwa Harmonizer. Huyo jembe kilaza tu.
 
Domo ameshaongea huko?,wengine tuko mbali na tv/radio tusaidieni kasemaje
Kazungumza meng ila kikubwa ni wasaf festival itakayofanyika tar9 mwez11, muda kuanzia saa1 asubuhi mpaka 6 usiku sehemu viwanja vya posta.Watashiriki wasanii wanaoimba maadh tofauti tofauti wakongwe na wasasa kutoka ndani na njee ya nchi. Na wataanza kutambulishwa kuanzia leo jioni kupitia vipindi mbalimbal kama sport court block89 na vipind vingine vya wasafi fm.Kutakua na tiketi za kawaida VIP pamoja na VVIP.
 
Hahahahabhahahaha kwani wasafi ndo walisema wewe sarah utalala na mwarabu??? Ilikuwaje??? Dadavua ...wadingemuondoa mwarabu angeendelea kumpakua Sarah??
 
Thanks kiongozi
 
Harmonizer alikuwa wasafi hivyo anazijua sarakasi zote,figisu zote. Yeye anakwenda kuziboresha tu. Believe me Harmonizer ndo atakuwa competitor mkubwa wa Nassib.
Naona mmeamisha magoli,

Muda utangea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ