Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Kwa wanaomchukia Diamond watamdhihaki na kumtukana ila kaandika kweli.

Ali Kiba kajijengea fikra moja kuwa yeye ni bora kuliko wanamuziki wote Tanzania, fikra hii haiakisi uhalisia wa maisha yake kimuziki.

Inawezekana akawa ni mwanamuziki mzuri lakini sio mzuri kuliko wengine wote.

Na kwa kiasi kikubwa mno uwepo wa Ali Kiba unategemea uwepo wa Diamond. Na ndio maaan Ali Kiba hatokuja kukubali suluhu na Diamond maana anajua hapo atakuwa keshapoteza kiki yote inayomuweka mjini.
 
Alidai yeye ni wa intaneshno ajabu karudi kubishana na loko atists,
Wenye intaneshno yao wanajaza tu maarena.
Tatizo kunya anye bata akinya kuku kaharisha.

Ali Kiba alianza choko choko kitambo ila sasa baada ya kujibiwa atajitilisha huruma kuwa katukanwa.

Tatizo wasanii wa Kibongo wanaamini ugomvi na kukutukanana ndio mafanikio. Hawaigi kwa wenzao wa Nigeria, huwa hawana ugomvi wa kudumu na wanasapotiana kimatafa kiasi kwamba wote wanakuwa wakubwa.
 
Mzigo wa Amina aliuchakata Domo
 
UTOTO WA HAWA WASANII SIJAWAHI KUUELEWA WALA KUUFUATILIA.

vijana wengi WAJINGA WAJINGA mnajua kweli kumbe ni...

1.kiki.
2. Ushindani WA kibiashara.
3. Kutengeneza Content.
4. Kujaza Followers.
5. Kupiga Fedha nk.

MNAOFUATILIA HIZO HABARI ZAO WENZENU NI MARAFIKI MNO WANAWADANGANYA WAPUMBAFU NA WAJINGA.
 
Kiba anaimba tatizo waliomzunguka wanampa kichwa hawaangalii uhalisia imagine mtu umempita 6years kwenye mziki lakini yeye kakupita zaidi ya 10yeas kwenye mafanikio. Kuna kitu kinamponza kiba huko kujidai anasauti hata kama ipo ila inampeleka mm hata sijui. Mondi ni mfano halisi wa kuwa na menejimenti nzuri ufike mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…