Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

Kitu pekee kilicho nikasirisha ni Diamond kumuingiza Amina kwenye ugomvi wao wa kipumbavu.

furahia na hilo.

lengo lake yeye ni kusema anachojisikia.

hao mademu zake wote anarudia walikopita hao akina kiba na wengine ije kuwa habari kwa mke wa ke!!!

ndio maana kachemka huko nje maana huko ni kazi tupu drama hakuna.
 
Huwa nashangaa pia mtu mzima kukuta eti anafutalia huu ujinga. Huwa namuona kama hamnazo
 
Vita ya maneno imezidi kushika kasi kati ya diamond na Alikiba
Cheki hapo chiniView attachment 2703404
Nyie mnajuwana, msitudanganye.

Rudini kwa Allah. Watoto wa Kiislam kumtumikia shetani wala hayo mnayoyapata siyo mafanikio, mnajikusanyia kuni tu za motoni.

Wasanii wakubwa duniani wanasilim, nyie mmebaki na ujinga wenu tu.


Mfyuuuuuuui.
 
I strongly believe Ali na Naseeb ni marafiki wazuri mno lakini kwa sabbu soko la muziki wa kidunia linataka hizi habari hakuna namna bali kuigiza. Basi freshhiii
Nakubaliana na hili Madame, sababu Marioo kapost clip hao kina Naseeb and the Co. wanacheza na kuimba Sumu ya huyo Ali na mwenzie, kama ingekuwa wana hilo beef kweli sidhani kama hata hilo lingewezekana..
 
Sasa wewe usijikubali. Usiamini wewe ni best katika unachofanya. Settle for mediocrity. Thats one for you not Kibakuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…