playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Hahahahaaaaa....anamuwaza sana king bishoo yuleHizi ni dalili za mtu anayekaribia kufa .
Diamond ameisha kapauka
Wewe ndiyo anakunyima raha. Nimuwaze Kiba ana nini?Huu sasa karibu mwaka wa 6 mnamwambia Ali kiba abadilike, jamaa yupo vilevile na Bado hamlalai mnamuwaza, hivi kwanini msishimdanishe Domo na jux au Barnaba, Kila siku kiba na jamaa yenu anaingia king Kwa [emoji146] kiba, ndo ujue kiba n mtu hatar na ndo maana anasumbua akili ya Domo days and night, tangu tumeakbiwa kiba abadilike mwaka wa 100 sasa na Bado anawanyima Raha, mshindanishen na konde bas kwan msanii ni kiba tu?????
Hao Ndiyo Walioshiba Wakavimbiwa Sasa WanahahaHao ndo akina nani hapa nchini?
habari ya leo mama D
Tupo salama wote. Moyo wangu huwa unajawa na tabasamu kuu nikiona replies zako. Mungu wa Mbinguni na akubarikiSafi mtoto wa Esau
Mnaendeleaje
Umeandika upupu dadangu mwajuma kobazi ndefuWewe ndiyo anakunyima raha. Nimuwaze Kiba ana nini?
Niliacha kumfuatilia muda sana, maana nyimbo zake ukiwa unasikiliza kwenye sabufa sisikii ule mdundo wa biti. Tangia 2015 mpk leo hata sijui anafanya nini. Sioni hata u-king wake kwenye muziki.
Yo! Yo! Yo!
Timu kibatali mna matatizo sana. Yo!
Sawa shangazi.Umeandika upupu dadangu mwajuma kobazi ndefu
Na aliyewaambia wawe hivi ni RugeUTOTO WA HAWA WASANII SIJAWAHI KUUELEWA WALA KUUFUATILIA.
vijana wengi WAJINGA WAJINGA mnajua kweli kumbe ni...
1.kiki.
2. Ushindani WA kibiashara.
3. Kutengeneza Content.
4. Kujaza Followers.
5. Kupiga Fedha nk.
MNAOFUATILIA HIZO HABARI ZAO WENZENU NI MARAFIKI MNO WANAWADANGANYA WAPUMBAFU NA WAJINGA.
km hazifunguki. vunjaJamani mimi picha azifunguki ?nisaidieni nifenyeje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaAlidai yeye ni wa intaneshno ajabu karudi kubishana na loko atists,
Wenye intaneshno yao wanajaza tu maarena.
Sasa huyo Domokaya atulizane na mafanikio yake, anawashwa nn na kiba? LolKiba anaimba tatizo waliomzunguka wanampa kichwa hawaangalii uhalisia imagine mtu umempita 6years kwenye mziki lakini yeye kakupita zaidi ya 10yeas kwenye mafanikio. Kuna kitu kinamponza kiba huko kujidai anasauti hata kama ipo ila inampeleka mm hata sijui. Mondi ni mfano halisi wa kuwa na menejimenti nzuri ufike mbali.