Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

Hela ya mwingine matumizi yake yanakuumaje kwa mfano sasa
 
Mikataba ni Confidential! Tatizo unaweza kuta hata hujawahi kuajiriwa ndio maana hata mkataba huuelewi vyema!
Sizungumzii kuajiriwa, swala la mikataba lipo hata kwenye mauziano ya bidhaa/mali. Mfano nyumba au kiwanja unaponunua kuna makubaliano ya pande mbili kati ya muuzaji na wewe mnunuzi pamoja na shahidi ambayo yanaandikwa kama uthibitisho

Sasa kama ni confidential hata mimi naweza nikaja na uwongo wangu kua mali fulani ni yangu ila siwezi kuonyesha hati miliki kwasabu ni confidential
 
Uwongo unakuwa backed up na status!

Huwezi kuniambia ulikuwa T.O wa A Level wakati matokeo yako ni mabovu toka chini unajulikana kilaza! Form 4 ulipata 0 sasa unawezaje kuwa na Division 1 ya 3 form 6

Maisha yako mabovu tu unaishi kwa neema za Mungu halafu ghafla upaki Range Rover ya 400M useme la kwako!
 
Tafuta pesa zako ndo uzipangie matumizi acha kupangia matumizi za wengine, Diamond acha atumie pesa zake maana anapambana usiku kucha kuzitafuta,

Unataka afe hajazifaidi ujinga mtupu, maisha ni mara moja tu duniani
Hili ndio tatizo kubwa la Watanzania wengi hasa Maskini. Wanapenda sana kutoa ushauri na hata kushinikiza namna ya kutumia pesa zako ulizotafuta kwa jasho lako mwenyewe.Hii tabia ni mbaya zaidi ya uchawi
 
As long as unawashawishi watu wanakubali maelezo yako haina tatizo ndugu, tangazia tu raia kwamba umenunua Ferrari au Bugatti tukishawishika hata kama unatuongopea sioni kama kuna tatizo.

Hivi ni nani hasa asiyetamani kumiliki hayo magari makali makali anayoyamiliki Diamond Platinum? Hatuna uwezo tu wa kuzichanga zikatukubali kama anavyozichanga Mond vinginevyo hata private jet mbona unamiliki maisha yenyewe tunaishi mara moja tu duniani hapa
 
Situation kama hiyo inakua rahisi wewe ku spot uwongo wake kwasababu haina kificho ipo wazi kwa umma hata mashuleni unaweza kwenda ukacheki

Sasa swala la M50 kwa week wewe utalithibitisha vipi kua ni kweli?

Utatumia mali kama uthibitisho ambazo nazo hukuwahi kuzithibitisha before kua ni zake?
 
Hili ndio tatizo kubwa la Watanzania wengi hasa Maskini. Wanapenda sana kutoa ushauri na hata kushinikiza namna ya kutumia pesa zako ulizotafuta kwa jasho lako mwenyewe.Hii tabia ni mbaya zaidi ya uchawi
Ni uchawi wenyewe kbs sio tabia tu. Umasikini ni moja ya mambo mabaya sana na ndio sababu tunachukiana wenyewe kwa wenyewe
 
Bwana we!

Kampuni ile 45% inaingiza hela, yeye anaingiza hela binafsi through endorsments, Assets zake zinaingiza hela nyumba na miradi mingine! These are satisfying tangible evidences to me!

Still unataka kukaza ubongo au unataka akuchapishie bank statement ndio uamini.
 
Sifanyi kuwafurahisha wadau, niseme swaga zipo on wakati umeme wa mgau
 
Kampuni gani?

Hizo assets unazosema zake una proof?
 
Sifanyi kuwafurahisha wadau, niseme swaga zipo on wakati umeme wa mgau
Suala la msingi ni kujikubali na kupambana hali zetu tu ndugu.

Kwenye maisha hatuwezi kufanana hata sekunde moja na ndio sababu hata sera za ujamaa zilifeli. Ujue hata kwa Mungu kuna malaika mkuu jambo ambalo linadhihirisha kwamba kuna levels.

Tazama hata rangi zetu za ngozi. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mimi ni mweusi wakati kuna mweupe?, au mwembamba wakati kuna mnene?, mrefu wakati kuna mfupi?, Maisha ndivyo yalivyo.

Hata darasani kuna wa kwanza wakati huo huo Kuna wa mwisho. Assume wewe ungekuwa ni Diamond, hela ile anayoishika ungeifanyia nini labda?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa watu niaje hawa
 
Unateseka tokea pande zipi zabibu Kiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…