Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

kalale daudi ambae ujielewai hii ni yetu sote, so watanzania wote tupo responsible kupiga so let's go [emoji123] kuvote kwa wingi
hapana hii sio yetu sote.
hii ni ya wanaCCM tu.
Msanii anayetoa nyimbo na kusema wapinzani tuwaburuze/ tuwakatekate/ mara wapinzani hawajielewi/wapinzani tuwakandamize/wapinzani watetereke ni msanii anayepaswa kupata support ya wanaCCM tu
 
Tulikaziwa vyuma wote,Leo wametusaliti hakika haya majitu sio ya kuyaonea huruma hata kidogo acha ya buruze mkia

Laana sumaka
 
apigiwe kura na ccm sisi tutakuwa na yule wa kwa M7
 
Ifikie hatua watu watambue maswala ya kisiasa na vyama ni mambo ya mtu binafsi. Kikubwa unachoangalia kwa msanii ni kazi zake tu, maswala ya kwamba yupo ccm,chadema au yupo timu fulani ya mpira hayo hayakusaidii kitu. Kama ww unapenda kazi za msanii basi utabaki kwenye mipaka yako ya kupenda kazi zake tu lakini sio kumbeza eti kisa yupo ccm au yupo simba. Ina maana mzazi wako akiwa upande wa ccm ndio utafanyaje sasa?!! Utamdhihaki?!! Jifunze kuheshimu masuala na maisha binafsi ya watu.
Uzi umetolea na ni habari njema kwa tasnia ya bongo flava hasa badala ya kufurahia wengine mnaleta chuki binafsi za uvyama, na kama ww sio shabiki wa hao wasanii basi unapita kimya tu kwa maana hujalazimishwa ku comment hapa. Watu wengine mnaonyesha ni jinsi gani mnaelemewa na stress za maisha yenu mnatafuta wapi pa kuzitoa
Kuweni waungwana.
 
Enzi za Nyerere tuliambiwa Africa ni moja na waafrica ni wamoja kwa hio hakuna ubaya wowote ule tukimchagua Mnigeria/Mghana etc
 
Ni kama anavyowaambia na wao wabaki na siasa yao waone itawafanya wawe na maisha bora.. ukahesabu madhara ya kukosa kura za wasiofungamana na ccm
luvcyna Huyo diamond teyali ana Mafanikio makubwa ana hotel, ana miliki media,ana label kubwa Africa WCB,Ana miliki nyumba 10,Ana tuzo 100 za nje alafu pia ana fan base kubwa na Wafuasi wengi kuliko msanii yoyote wa East Africa hapo uoni kutompigia kura kwako haina impact yoyote kwenye maisha yake?
 
Watanzania siyo wajinga, hawawezi mpigia kura msanii wa ccm

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kama watanzania hawawezi kumpigia msanii anayewafanyia kampeni CCM mbona Diamond kabeba tuzo nyingi Sana na pia kapiga hatua kubwa Sana kwenye mziki mpaka ameshirikishwa na msanii mkubwa mwenye tuzo 6 za Grammy Alicia key kweli mashabiki wa Chadema mnamatatizo ya akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…