mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kilio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilio.
hapana hii sio yetu sote.kalale daudi ambae ujielewai hii ni yetu sote, so watanzania wote tupo responsible kupiga so let's go [emoji123] kuvote kwa wingi
Tulikaziwa vyuma wote,Leo wametusaliti hakika haya majitu sio ya kuyaonea huruma hata kidogo acha ya buruze mkiaHabarini Wana jamvii.
hii ni kubwa kuliko kwa wasanii wetu pendwa watatu, Diamond Platnumz The G.O.AT in East Africa), Rayvanny (the one and only BET winner in East Africa )and Zuchu(Best female artist in East Africa) kuwa nominated as consideration kwenye tuzo za Grammy zitakazo kuja kufanyika mwaka 2021.
1.Diamond platinumz the G. O. A. T ameingiza Jeje(Best video)&Baba lao(best video).
2.Rayvanny(Beat album flowers).
3.Zuchu(Best new comer).
N. B:Hakuna msanii Africa mashariki ambaye amesha wahi kufikia hiyo hatua, so chondchonde narudia tena chondchonde Diamond asilinganishwe na wasanii wazee na maunder grounds.
pia, hakuna album iliyofikia mafanikio Kama ya rayvanny, so naomba rayvanny album isifananishwe na utopolo fc.
Mwisho kabisa, akuna msanii wa kike ambaye Alisha fikia mafanikio kaka ya zuchu, so naomba zuchu asifananishwe na utopolo.
POVU KAFULIENI NGUO ZENYE KIWANGO CHA PHD, SGR na PHD.
apigiwe kura na ccm sisi tutakuwa na yule wa kwa M7Habarini Wana jamvii.

Acha useng..!!Wewe una mashaka na alichokisema? Ukiambiwa uthibitishe mashaka yako utaweza? Lumumba bhana
Enzi za Nyerere tuliambiwa Africa ni moja na waafrica ni wamoja kwa hio hakuna ubaya wowote ule tukimchagua Mnigeria/Mghana etcIfikie hatua watu watambue maswala ya kisiasa na vyama ni mambo ya mtu binafsi. Kikubwa unachoangalia kwa msanii ni kazi zake tu, maswala ya kwamba yupo ccm,chadema au yupo timu fulani ya mpira hayo hayakusaidii kitu. Kama ww unapenda kazi za msanii basi utabaki kwenye mipaka yako ya kupenda kazi zake tu lakini sio kumbeza eti kisa yupo ccm au yupo simba. Ina maana mzazi wako akiwa upande wa ccm ndio utafanyaje sasa?!! Utamdhihaki?!! Jifunze kuheshimu masuala na maisha binafsi ya watu.
Uzi umetolea na ni habari njema kwa tasnia ya bongo flava hasa badala ya kufurahia wengine mnaleta chuki binafsi za uvyama, na kama ww sio shabiki wa hao wasanii basi unapita kimya tu kwa maana hujalazimishwa ku comment hapa. Watu wengine mnaonyesha ni jinsi gani mnaelemewa na stress za maisha yenu mnatafuta wapi pa kuzitoa
Kuweni waungwana.
Kwani kura wamekuomba wewe au wameomba mashabiki zao?watakula walikopeleka mboga, that's the point!
Mimi siko upande wa uyo kamgulu, nafikiri wewe ndie unatakiwa kuambatana nae.Kwendraa na huyo kamgulu wako.
Tupo pamoja Kiongozi hawa wahuni ni wa kuwakataa tu.Ni mwanaume mpumba.vu tu atakayewapigia kura hawa wasanii uchwara wa thithiemu
watapata mashabiki wao kule walikopeleka mboga pekee ambao hawatoshi hata 25% ya voters wa Nigeria.Kwani kura wamekuomba wewe au wameomba mashabiki zao?
Ni sawa tu kama mtazamo wako uko hivyoEnzi za Nyerere tuliambiwa Africa ni moja na waafrica ni wamoja kwa hio hakuna ubaya wowote ule tukimchagua Mnigeria/Mghana etc
Yes,Africa unite.Ni sawa tu kama mtazamo wako uko hivyo
luvcyna Huyo diamond teyali ana Mafanikio makubwa ana hotel, ana miliki media,ana label kubwa Africa WCB,Ana miliki nyumba 10,Ana tuzo 100 za nje alafu pia ana fan base kubwa na Wafuasi wengi kuliko msanii yoyote wa East Africa hapo uoni kutompigia kura kwako haina impact yoyote kwenye maisha yake?Ni kama anavyowaambia na wao wabaki na siasa yao waone itawafanya wawe na maisha bora.. ukahesabu madhara ya kukosa kura za wasiofungamana na ccm
Kama watanzania hawawezi kumpigia msanii anayewafanyia kampeni CCM mbona Diamond kabeba tuzo nyingi Sana na pia kapiga hatua kubwa Sana kwenye mziki mpaka ameshirikishwa na msanii mkubwa mwenye tuzo 6 za Grammy Alicia key kweli mashabiki wa Chadema mnamatatizo ya akili?Watanzania siyo wajinga, hawawezi mpigia kura msanii wa ccm
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app