Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

Hadi
40 bado ni kijana
 
Afrika tuu ndio wanatishana kwa umri, nchi zilizoendelea watu hawana time n aumri, wanakumbia umri namba tuu, fikra zako ndio mpango mzima

Ndil maana jamaa kugonga 90 100 kawaida tuu.
 
Hapa sijaelewa kinachokupa shida ni nini. Ilisemwa wakati ni ukuta huwezi kushindana nao,itafika tu wakati Mtoto ataitwa Mtu wa makamo baadae Mzee,kikongwe n.k. Jamii wanaona, sasa kama wao bado wanamuona Kijana Mtoto au Mzee Kijana waulize wao wakupe sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…