Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena.

Hivyo, kwenye makongamani ya vijana diamond ataalikwa kama mtumbuizaji, na si kama Kijana wa mfano, yeye Sasa ni mtu wa Makamo. Na anastaili kupewa shikamoo nyingi, na Kwa Umri wake wa utu uzima ni vema akaona.

Jambo la kutoka kwenye ujana , c jambo rahisi kulikubali, lakini Kila kitu unapaswa Kumshukuru Mungu. Vijana wa kwenye game Sasa ni kina harmonize, marioo, we diamond ni Mzee mwenzetu Asante na popote ulipo ujumbe ukufikie

What you thought, he ain't run the streets? Now you can't sleep ten deep, convoyin in the Benz jeep.
Rollin deep with the Don Dada,He put the chrome in your cara, Adios to Manana.
 
Back
Top Bottom