cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa
Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.
Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
Duuu kwel we ni pumzihaiuzwiMacho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Bahati mbaya hauwezi maana wakati anayachanganya mlimsifia na kumpa support kwa alichokuwa anakifanya. Kwa sasa kutenganisha maisha binafsi ya diamond na kazi zake ni ngumu sana. Pole sana.Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa
Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.
Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
Nilikua natafuta comment yako [emoji23][emoji23][emoji23]pole sana umeongea kwa hisia
ila ni vema maisha binafsi wangeachiwa wao wahusika wata yasolve wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu punguza hasira kwani mademu wamekukosea nini
zari alivokuwa anajishaua kwenye msiba wa ivan mliona ni sawa? mnamuona domo boya eeh sasa subirini muone . yaani zari alionesha kabisa hakuwai kuachana na ivan .Ha ha haaaa
Hajui tu ameshaanza kuboa wengi sana sana haupo peke yako.
Nimeiona hiyo ya jina leo.
Kwahiyo wewe unavyoona mawasiliano yao yote yapo mitandaoni ....... Usipoona kaandika chochote kuhusu Zari au mtu yeyote basi unahisi kalala hakuna anachokifanya si ndio .......... Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo unaona yale ya mitandao ndio maisha yake kuanzia asubui mpaka jioni .....???Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Kwahiyo huyo member incase amefiwa na mwanae inakuwaje?Huo ndiyo ukweli.
Kila mtu ana majanga yake inapokuja katika maisha binafsi.
Pia, hizi hela kuna watu wanazipata kwa masharti magumu kwa hiyo vigezo vya kupewa hizo hela ni lazima yazingatiwe regardless who is in trouble.
Kwa mfano, members wote wa FreeM , huwa hawatoi hela zao kwa ajili ya matibabu wala kuwa na huruma na mtu hata akipatwa na msiba.
Kwa hiyo, hili game tukae pembeni tukiwa na popcorns na soda baridi tuendelee kusoma game.
Ninayo , mengi ya ajabu ya kuandika, ila Kwa sababu naogopa ban na defamation naomba nishie hapa.
Nitarudi tena toleo lijalo.
Tuilete Video ili iweje?Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Mama chi... hi! Pole kwa povuKwahiyo wewe unavyoona mawasiliano yao yote yapo mitandaoni ....... Usipoona kaandika chochote kuhusu Zari au mtu yeyote basi unahisi kalala hakuna anachokifanya si ndio .......... Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo unaona yale ya mitandao ndio maisha yake kuanzia asubui mpaka jioni .....???