inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
dawa zimeisha nguvuMwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa
Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.
Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
ivan alimuoa zari pia amezaa nae watoto wa 3 na diamond alkua mchepuko tuu na bado ni mchepuko tuuAcha kukariri nadhani wewe bado ni kijana mdogo. Huwezi jua haya masuala kabla ya kupambana nayo! Hakuna mwanaume ambaye angekubali hata kama ni marafiki tu
VIJANA WA KIBA BANAAAA,MMEKUA WAKIWAAA BOSS NAONA KAKUBALI YAISHE,TWASUBIR AJE REMIX PART4ivan alimuoa zari pia amezaa nae watoto wa 3 na diamond alkua mchepuko tuu na bado ni mchepuko tuu
ET asiende kwe msiba wa mme wake kisa domo?
pia alchofanya domo ni ushamba tuu huwezi kumletea rohombaya mama watoto wako
MYB ukibalehe utajua namaanisha nn
Wewe ni Me au Ke?ivan alimuoa zari pia amezaa nae watoto wa 3 na diamond alkua mchepuko tuu na bado ni mchepuko tuu
ET asiende kwe msiba wa mme wake kisa domo?
pia alchofanya domo ni ushamba tuu huwezi kumletea rohombaya mama watoto wako
MYB ukibalehe utajua namaanisha nn
Hivi unadhani Zari alifanya jema kwa Diamond alivyohudhuria msiba wa Ivan? Kwa mwanaume inauma kuliko maelezo nikueleze
Nikuulize wewe assume mimi ni mme wako na nilizaa na mke mwingine nikamuacha nikakuoa wewe. Nikakuthibitishia kuwa nimeachana na huyo mwanamke. Siku anafariki nahudhuria mazishi yake na nakaa hightable na wananitangaza kuwa huyu ndiye mume wake. Wewe utajisikiaje? Tuache kuwa self centre, Diamond na familia yake pamoja na marafiki zao walisononeka sana. Je, unaweza kubisha wale waliosema kuwa watoto wanafanana na Ivan. Think outside the box, sisemi asingehudhuria ila angalihudhuria kama watu wengine si kupewa heshima ya mke!!!!!! Nadhani wanaume wa JF ambao ni watu wazima watasaidia kwa hili ila wavulana na akinamama najua mtapingaEmbu jisikitikie kwa uliyoandika shaaaaa
Nikuulize wewe assume mimi ni mme wako na nilizaa na mke mwingine nikamuacha nikakuoa wewe. Nikakuthibitishia kuwa nimeachana na huyo mwanamke. Siku anafariki nahudhuria mazishi yake na nakaa hightable na wananitangaza kuwa huyu ndiye mume wake. Wewe utajisikiaje? Tuache kuwa self centre, Diamond na familia yake pamoja na marafiki zao walisononeka sana. Je, unaweza kubisha wale waliosema kuwa watoto wanafanana na Ivan. Think outside the box, sisemi asingehudhuria ila angalihudhuria kama watu wengine si kupewa heshima ya mke!!!!!! Nadhani wanaume wa JF ambao ni watu wazima watasaidia kwa hili ila wavulana na akinamama najua mtapinga
Soma hii hapa: https://globalpublishers.co.tz/tanzia-mume-wa-zari-ivan-ssemwanga-afariki-duniaNimefika kwenye eti wanatangaza eeeeh
Acha uongo Zari hakuzungumziwa kama mke wake bali.... na Mama wa watoto wake. Na wametoka mbali acha kumtetea Naseeb kwenye tabia aliyofanya.
Malizia kusoma mwenyewe au andika mengine, wewe subiri kufikia hayo kama yatakukuta them uje uniandikie.