Diamond Platnumz uwe na utu!

Diamond Platnumz uwe na utu!

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
3,273
Reaction score
3,083
Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
27bd2d24a502d5b34021cc17034f9c82.jpg

c69407fb3a557a9512d18c04d171cfff.jpg

562c1ba0aba2ced15bac3c283bbd71ab.jpg

Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni

Updates
Pole sana Zarina Hassan TLale kwa kufiwa na mama yako mzazi, Mungu awape nguvu familia nzima, ni kama mwezi na ma week kadhaa ulimpoteza mzazi mwenzio Ivan the don, hakika uko katika nyakati ngumu kibinadamu
Wapumzike kwa Amani.
067bf046d9598e68a7357df13fb863e3.jpg
 
Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa

Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.

Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
 
Yanakuhusu??? Mijitu mengine imekaa kidemu demu

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Shabikieni Muziki wake.. Life style yake muachieni mwenyewe.Over..


Huo ndiyo ukweli.

Kila mtu ana majanga yake inapokuja katika maisha binafsi.

Pia, hizi hela kuna watu wanazipata kwa masharti magumu kwa hiyo vigezo vya kupewa hizo hela ni lazima yazingatiwe regardless who is in trouble.

Kwa mfano, members wote wa FreeM , huwa hawatoi hela zao kwa ajili ya matibabu wala kuwa na huruma na mtu hata akipatwa na msiba.

Kwa hiyo, hili game tukae pembeni tukiwa na popcorns na soda baridi tuendelee kusoma game.

Ninayo , mengi ya ajabu ya kuandika, ila Kwa sababu naogopa ban na defamation naomba nishie hapa.

Nitarudi tena toleo lijalo.
 
Btw, wasanii kila kitu kwao ni usanii na kiki. Inawezekana kabisa, anataka aonekane na kusikika katika vyombo vya habari.
 
Huyo amechemka sana sana.

Na ninaamini lazima Zari the Don amenoti.

Weka ile video anavuta cigar na kupati huku usiku huo huo Zari amerusha hiyo snapchat uliyoweka( picha ya kwanza).

Hivi si yule hamisa anajiita mama dee, labda kaamua kutojali liwalo na liwe.
 
Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa

Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.

Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
pole sana umeongea kwa hisia

ila ni vema maisha binafsi wangeachiwa wao wahusika wata yasolve wenyewe
 
Back
Top Bottom