Walec
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,364
- 3,326
Na nyie nunueni basi[emoji3]ma- viwers yakununua hayo juma lokole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie nunueni basi[emoji3]ma- viwers yakununua hayo juma lokole
Heeh kwani kuna mtu kabisha?YouTube ni zaidi ya pesa...kwanz ni kujitangaza...pesa inafuata
Ulicomment as if pesa ndo kila kituHeeh kwani kuna mtu kabisha?
Haha hizo ni hisia zakoUlicomment as if pesa ndo kila kitu
Tumetoa pongezi kwa mwenye nyimbo...koffi heshima yake ipo pale paleHii sio nguvu ya Mond tu, coz bila Koff sidhani kama huu Uzi unge exist. So wakati mkimpongeza Chibu mkumbukeni na Olamide
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ni tajiri ila still bado tunawaibia wasanii kwa kupenda kuseleleka,kwani hizo platforms zina hela ndefu kuliko Youtube.
Kuna interview Mondi alisema applemusic/itunes nyimbo moja around $1 kwaio ukipiga streams 1M ni $1M. Ila youtube 1M views unapata around $400-500.Mkuu hebu tupe mfano hizo platforms zinalipa vp tulinganishe na Ytube
Itunes download 1m,sawa na 1m $ hapo kwenye mgao msanii hakosi hata $400,000 =zaidi ya mil Tsh 800,000,000 ,kwa sportfy kwa mujibu wa AT (intvw ipo Millard Ayo) 1mil streams msanii hakosi 12,000$ = zaidi ya Tsh 24,000,000.Mkuu hebu tupe mfano hizo platforms zinalipa vp tulinganishe na Ytube
Asante salama jabir1. Olomide naona yeye haimbi anataja majina ya mapedeshee tuu.
2.Melody haina consistency kwani ni vipengelepengele vya nyimbo aliwahi kuimba na nyingine za kwenye siasa hasa inalobebajina la wimbo
3.Wamerekodia ndani sehemu moja kwa kutumia blue screen ama chroma key hivyo hakuna cha location
4.Kuna mafurushi meupe yanaonekana kwenye video sijui ni mizigo iliyobeba nguo za kubadilishia na mtu wa graphics akasahau kuyafuta au labba ndio staili wamekuja na madude ya kuboresha.
5.Audio ni bora maneno yanasikika vizuri ijapokuwa tafsiri ama theme ya wimbo siielewi
6.Picha ni bora na za kiwango cha juu hata ukizoom bado ubora haupotei
Acha kinyongo jombaa... Kwani ukipongeza ukapita au ukikaa kimya unapungukiwa nnYou tube ukipata views million 11 unalipwa million 3 T.shilling.
Tuwasupport waanze kututukana kama kawaida yao wakipata ukwasi?? Kuna mmoja niliona insta watu wanaamkosoa akasema nyie ni followers tu hamnilishi[emoji1787] nikajiuliza kiburi anapata wapi huyu..Itunes download 1m,sawa na 1m $ hapo kwenye mgao msanii hakosi hata $400,000 =zaidi ya mil Tsh 800,000,000 ,kwa sportfy kwa mujibu wa AT (intvw ipo Millard Ayo) 1mil streams msanii hakosi 12,000$ = zaidi ya Tsh 24,000,000.
Ila kwa kuwa tunapenda kuseleleka matokeo yake wasanii hawapati hela ndefu.
Nigeria huko wanawasapoti wasanii wao sana kwa kununua na kustream kaza zao kupiti hizi ITunes,Sportfy,Tidal nk ndio maana wanahela sana.
Sisi huku makelele mengi lkn kwenye kununua na kustreams miziki wasanii tunashindwa kuwasapoti.
Hata huyo Diamond streams zake nyingi ktk hizi digitals platforms anazipata kutoka nje,ila bongo hapa wazuri tu kukimbizana Youtube kuangalia video,audio tunaenda kuipakua bure kwa kidebwoy.
Youtube ni straight forward hakuna kulipa unazama unatazama tu, ila nao si mbaya maana wamechagua style nyingine ya kuwalipa wasanii bila watazamaji kutoa pesa. Hii njia imekuwa ndiyo njia ya Google kwa muda mrefu kwa end user kutumia huduma bure huku makampuni ya kilipia gharama kwa kuweka matangazo. Ila naona taratibu ana shift.Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.
Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
Ingekuwa spotify mpaka kwa streams 2M angekuwa amelaba $4,370 zaidi ya milion kumi hizo. Ila hata hivyo hata mbele unakuta wasanii wana viewers hata milion 200 mpaka bilion Youtube na siyo streams za spotify wala itunes kwakuwa kila sehemu watu wanapenda mteremko. Siyo Tanzania tu wasanii wanapokumbana na changamoto hizi tu hata mbele wasanii wanaibiwa sana. Just imagine unakuta unakuta album inaleak kabla ya kuachiwa, mfano kilichomtokea Kendrik LamarNi tajiri ila still bado tunawaibia wasanii kwa kupenda kuseleleka,kwani hizo platforms zina hela ndefu kuliko Youtube.