Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Hii sio nguvu ya Mond tu, coz bila Koff sidhani kama huu Uzi unge exist. So wakati mkimpongeza Chibu mkumbukeni na Olamide

Sent from my phone
 
Mkuu hebu tupe mfano hizo platforms zinalipa vp tulinganishe na Ytube
Ni tajiri ila still bado tunawaibia wasanii kwa kupenda kuseleleka,kwani hizo platforms zina hela ndefu kuliko Youtube.
 
Mkuu hebu tupe mfano hizo platforms zinalipa vp tulinganishe na Ytube
Itunes download 1m,sawa na 1m $ hapo kwenye mgao msanii hakosi hata $400,000 =zaidi ya mil Tsh 800,000,000 ,kwa sportfy kwa mujibu wa AT (intvw ipo Millard Ayo) 1mil streams msanii hakosi 12,000$ = zaidi ya Tsh 24,000,000.

Ila kwa kuwa tunapenda kuseleleka matokeo yake wasanii hawapati hela ndefu.

Nigeria huko wanawasapoti wasanii wao sana kwa kununua na kustream kaza zao kupiti hizi ITunes,Sportfy,Tidal nk ndio maana wanahela sana.

Sisi huku makelele mengi lkn kwenye kununua na kustreams miziki wasanii tunashindwa kuwasapoti.

Hata huyo Diamond streams zake nyingi ktk hizi digitals platforms anazipata kutoka nje,ila bongo hapa wazuri tu kukimbizana Youtube kuangalia video,audio tunaenda kuipakua bure kwa kidebwoy.
 
1. Olomide naona yeye haimbi anataja majina ya mapedeshee tuu.

2.Melody haina consistency kwani ni vipengelepengele vya nyimbo aliwahi kuimba na nyingine za kwenye siasa hasa inalobebajina la wimbo

3.Wamerekodia ndani sehemu moja kwa kutumia blue screen ama chroma key hivyo hakuna cha location

4.Kuna mafurushi meupe yanaonekana kwenye video sijui ni mizigo iliyobeba nguo za kubadilishia na mtu wa graphics akasahau kuyafuta au labba ndio staili wamekuja na madude ya kuboresha.

5.Audio ni bora maneno yanasikika vizuri ijapokuwa tafsiri ama theme ya wimbo siielewi

6.Picha ni bora na za kiwango cha juu hata ukizoom bado ubora haupotei
Asante salama jabir
 
Itunes download 1m,sawa na 1m $ hapo kwenye mgao msanii hakosi hata $400,000 =zaidi ya mil Tsh 800,000,000 ,kwa sportfy kwa mujibu wa AT (intvw ipo Millard Ayo) 1mil streams msanii hakosi 12,000$ = zaidi ya Tsh 24,000,000.

Ila kwa kuwa tunapenda kuseleleka matokeo yake wasanii hawapati hela ndefu.

Nigeria huko wanawasapoti wasanii wao sana kwa kununua na kustream kaza zao kupiti hizi ITunes,Sportfy,Tidal nk ndio maana wanahela sana.

Sisi huku makelele mengi lkn kwenye kununua na kustreams miziki wasanii tunashindwa kuwasapoti.

Hata huyo Diamond streams zake nyingi ktk hizi digitals platforms anazipata kutoka nje,ila bongo hapa wazuri tu kukimbizana Youtube kuangalia video,audio tunaenda kuipakua bure kwa kidebwoy.
Tuwasupport waanze kututukana kama kawaida yao wakipata ukwasi?? Kuna mmoja niliona insta watu wanaamkosoa akasema nyie ni followers tu hamnilishi[emoji1787] nikajiuliza kiburi anapata wapi huyu..
 
Screenshot_20201201-022624.png

nafikuri dunia nzima inakesha humu..
 
Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.

Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
Youtube ni straight forward hakuna kulipa unazama unatazama tu, ila nao si mbaya maana wamechagua style nyingine ya kuwalipa wasanii bila watazamaji kutoa pesa. Hii njia imekuwa ndiyo njia ya Google kwa muda mrefu kwa end user kutumia huduma bure huku makampuni ya kilipia gharama kwa kuweka matangazo. Ila naona taratibu ana shift.
 
Ni tajiri ila still bado tunawaibia wasanii kwa kupenda kuseleleka,kwani hizo platforms zina hela ndefu kuliko Youtube.
Ingekuwa spotify mpaka kwa streams 2M angekuwa amelaba $4,370 zaidi ya milion kumi hizo. Ila hata hivyo hata mbele unakuta wasanii wana viewers hata milion 200 mpaka bilion Youtube na siyo streams za spotify wala itunes kwakuwa kila sehemu watu wanapenda mteremko. Siyo Tanzania tu wasanii wanapokumbana na changamoto hizi tu hata mbele wasanii wanaibiwa sana. Just imagine unakuta unakuta album inaleak kabla ya kuachiwa, mfano kilichomtokea Kendrik Lamar
 
Keyboard warriors [emoji23][emoji23][emoji23] . Leo youtube mnaitaa sehemu ya mteremko mnachekesha sana. Mnaichukulia youtube kimzaa sana. Ukitaka kujua youtube pagumu nenda ukaweke content zako mule ndio utajua hujui. Wasanii wangapi wakubwa hata kufikisha 200k ni ishu.
 
Back
Top Bottom