Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwan yye mpango wake wa kuwa Tajiri namba moja umeanza au bado maana sie hatutakubili kumpoteza kijana kwa kwanza tajir dunian
 
Tulia kafanya vibaya kudhani maswali kaulizwa eti kwa vile yeye ni mwafrika au anatoka poor country, that is inferiority complex, ni SELF STIGMA kajinyanyaapaa mwenyewe!!

Halafu pitch and intonation inaonyesha alivurugwa na maswali, akajibu kwa jazba, asifikiri yupo Bunge la Tanzania ,alizadhani muuliza swali ni LUHAGA MPINA, BABU TALE na Mzee Halima Mdee na Easter Bulaya.

Kujinyanyapaa ni kosa kubwa sana kati ya makosa aliyoyafanya.

Ana lack of confidence, anatumia pia uafrika kujitetetea, alipata nafasi by chance tu!!
 
Nimekusikia CHAWA, utaelewa siku utakapotoa akili zako za KUVUKIA barabara mfukoni.

Nazijua siasa za Mbeya vizuri, Mbeya pagumu sana, Mbeya ni ngome ya CHADEMA!!!
Mbeya mjini voter's wanaojitambua.

We naona utakuwa mgeni Tanzania/ mgeni Mbeya.

Sugu alikuwa the Most Voted member of Parliament Mbeya kabla ya UCHAFUZI MKUU 😃 wa 2020, alipimpiga mpinzani wake range ya kura 60,0000 upo wewe Mwanamke??

Unaibaje hapo kura?? Subirini mtaona shughuli mwakani!!!
👊👊
 

Kwanini asibaki hukohuko uswiss
 
Mkuu, upo sawa maana wale ni wabunge wenziwe, hakuoaswa kuwajibu kama wanafunzi,japo kuwa majibu yake yalikjwa sawa. Ali panic katika kuyajibu.
 
Tatizo lenu ni ushujaa wa nyuma ya keyboard, kuna watu humu ukiwasoma unaweza kudhani huko mtaani moto mkubwa unawaka.

Siasa za kutimiza malengo yanayowekwa kwenye ilani ya uchaguzi siku zote zinashinda, usiwaamini sana wale wahuni waliomzomea Zuchu jukwaani, wale hawapigi kura hata siku moja.
 
Mkuu, upo sawa maana wale ni wabunge wenziwe, hakuoaswa kuwajibu kama wanafunzi,japo kuwa majibu yake yalikjwa sawa. Ali panic katika kuyajibu.
Aliwaweka sawa kwa kuwakumbusha kuwa wao kutoka mataifa makubwa na tajiri hawana kibali cha kumnyanyasa spika kutoka nchi maskini ya Tanzania.

Walitaka kum-bully lakini akawageuzia kibao katika majibu ya maswali yao.
 
Duuu, MBEYA JK Msafara wake ulivurumushwa mawe akiwa Rais, ....Mbeya sio rahis ndugu Joel, tutakuja kutafutana na kuuulizananhapa hapa jukwaani!!

Ya zuchu ni sign ndogo sana utaniambia wakati ukifika!!
 
Wewe ni Chawa?
 
Hili liko wazi,Ukiwa na akili timamu huwezi mpigia kura Sugu ukamuacha Tulia unless una shida mahala 😆😆

Wazungu wanamjua vyema Tulia
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…