Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Diamond akapige shoo mbeya. Atapata tathmini vizuri tu.
 
Mondi nina heshimu Hustle zake. Ila kwenye uhalisia lazima umuelewe hajasoma. Ni mwanamuziki mzuri na mfanyabiashara mkubwa lakini kutokusoma kuna impact kubwa kwake
Kwa kifupi ni msanii anayeangalia maslahi yake, What if anapewa msamaha wa kodi kwa makampuni yake kisiri, who knows?
 
Ohoo... Diamond hajui kama ccm hawamtaki huyo 2lia..eheee!?!!!kajipalia makaa..
Diamond anapaswa kumsifu kizimkazi tuu.. kapotoka.
 
Tazama TV za Kenya utauona ukweli kuwa vijana wao wamepagawa haswa kwa hali za kimaisha.

Sio ugumu wa maisha ila pia ukifuatili historia ya Kenya walipata uhuru kupitia armed struggle,

Pia wamepitia vipindi kama vya moi ambapo watu walipambana ili kuirejesha Kenya wanayoitaka kwa hiyo hadi hapo unaona, wakati sisi tukiwa na akili ya kidumu chama ama neno la kiongozi ndio final, wao waliishi kwa kuamini katika uhuru wao wa kufikiri na kuamua. Na pale wanapodharauliwa, huwa hawalii mitandaoni, huwa wanaenda front kama ulivyoiona generation Z ya Kenya ambavyo haikuogopa mabomu

Kwa hiyo Tanzania wala sio wepesi wa maisha ila watu tunaishi ili mradi tunapumua, kodi zinapandishwa hatujui

CAG anatangaza ubadhirifu, tupo tu na hata liongeleke lipi kila mtu anafikiria nikifa itakiwaje lakini wenzetu wanawaza, tukiyaruhusu haya, vizazi vyetu vijavyo vitaishije. Huo ndio utofauti

So sio kwamba watu hawana sababu ila hawana guts za kutoa reaction
 
Ohoo!!
 
Sadc wamemkubali ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBOiLW-qWt5/?igsh=ZHgzNm1pYmZwNzky
 
Hakika! Kabla ya kutushauri siye wanambeya amalizane na Diddy kwanza ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kama anaona ni jembe ampeleke kwa P Didi asituletee uchizi wake. Aje Mbeya aone na aseme ujinga wake. Zuchu tulimpopoa kwa chupa za plastic yeye tutampopoa kwa mawe
 
Correctionโ€ฆ mbeya ni ngโ€™ombe ya sugu
 
..kwanini Diamond hamdai fidia Pdidy? Au walifanya kwa hiyari bila kulazimishwa wala kurubuniwa?
Alifanya kwa ridhaa yake akiaminishwa kuwa anapewa upako wa kumfanya kujakuwa tajiri namba moja duniani.
 
Watanzania waongeleshe kiinglish tu basi, umewamaliza watakuona wewe ni bonge la msomiii

Wajinga ndio waliwao
 
Mbeya inahitajika kuongozwa na watu wenye uwezo sio kuokota okota watu wenye vibe alafu wanaishia kutukana matusi
Hii post ya kidwanzi sana,wewe huijui mbeya vizuri husasani Tanzania Kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ