PostGE2025 Diamond Platnumz: Wanaweka nguvu kwenye mpira. Wasanii wanatudharau, wanatuthamini kipindi cha kampeni tu

PostGE2025 Diamond Platnumz: Wanaweka nguvu kwenye mpira. Wasanii wanatudharau, wanatuthamini kipindi cha kampeni tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Naona ndugu zetu washaanza kutoa milio huko 😂

Tuliwaambia waachane na siasa wasimame na wananchi wakakaza shingo. Sasa hivi wameshatumika wanatoa milio.

Malipo ni hapa hapa duniani!

-------

Msanii Diamond Platnumz, akizungumza leo, Machi 31, 2026, katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Wasafi FM, Diamond ameeleza kusikitishwa kwake na namna serikali inavyomwaga rasilimali nyingi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, wakati muziki ukipewa kipaumbele wakati wa kampeni za kisiasa pekee.

"Wanaweka nguvu sana kwenye mpira ila kwenye mziki wanadharau sana mshikaji wangu. Sisi tunaonekana tu kwenye kampeni, yaani hapo tupo 'serious', ila baada ya hapo miundombinu aaah!"


 
Kumbe ni zile Billion 151 za Msigwa na Bashite au sio?

Ila wanajuana Bashite ni mlezi wake atampa mgao wa kupiga show kwenye Ndondo Cup anazofikiria kuanzisha kwa mbwembwe za Afcon yaan Afcon imekuwa sehemu ya kujipigia wanavyotaka na wakiulizwa wanakuja na majibu ya kiduanzi kwenye maswali ambayo walitakiwa watumie akili sio mmea
 
Rasm domo umejiponza na utawaponza vijana wenzio wa mjini wanaopiga magoti kwa bwana yule.
Aione Shetta.....
Ukiona hivyo anajaribu kuurudisha mpira kwa kipa ili apate sympathy ya wanajamii maana wanajamii dizaini km wamemweka kando hakuna cha nini wala nini.

Sasa wewe unajisikiaje ukitaka mambo yaende na hayaendi alisema Pepsi na Airtel wanamlipa pesa nyingi sana na analipwa kwa sekunde. Yaani kila sekunde inayosogea yeye hela inasoma kutoka Pepsi na Airtel wanamlipa sisi tunapiga soga za mzawa tu hapa.

Ngoja niishie hapo.
 
Back
Top Bottom