Ukiona hivyo anajaribu kuurudisha mpira kwa kipa ili apate sympathy ya wanajamii maana wanajamii dizaini km wamemweka kando hakuna cha nini wala nini.Rasm domo umejiponza na utawaponza vijana wenzio wa mjini wanaopiga magoti kwa bwana yule.
Aione Shetta.....
Kila mtu afanye kazi yake tuache kulalamikaKama nimukuelewa hivi mkuu alafu kama bado sijakuelewa π€
"Wanaweka nguvu sana kwenye mpira ila kwenye mziki wanadharau sana mshikaji wangu. Sisi tunaonekana tu kwenye kampeni, yaani hapo tupo 'serious', ila baada ya hapo miundombinu aaah!"
Ni mpumbavu sana. Kila nikikumbuka ile clip yake akiwa kwenye gari anatukana Watanzania wanaodai haki napata hasira