PostGE2025 Diamond Platnumz: Wanaweka nguvu kwenye mpira. Wasanii wanatudharau, wanatuthamini kipindi cha kampeni tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni mpumbavu sana. Kila nikikumbuka ile clip yake akiwa kwenye gari anatukana Watanzania wanaodai haki napata hasira
Si anasema Pepsi wanamlipa pesa nyingi sana sasa analalamika nini na huku kwenye matangazo wanamlipa kitita cha kutosha si aendelee kukomaa huko huko kwenye matangazo ya rangi, chupi, nepi, pampas, dippers, nk akomae huko pesa zipo huko kapiga tangazo kwenye bia za Serengeti Lite, Castle Lite, Safari Lite sijui, eeh piga endorsement za matangazo kote huko anaokoteza hela tu wanamlipa hadi leo anatafuna hela, sisi tunapiga porojo tu hapa
 
Kwani kwenye kampeni huwa wanakwenda bure au wanalipwa.
 
Wakae kwa kutulia tulishamalizana nao!
 
Wakae kwa kutulia tulishamalizana nao!
Watu hawana time nao hao wakata mauno
Wanata kutwa wao waonewe huruma,kuna watu wanachangamoto
Nyingi kuliko hizo kelele zao
Awe mpole asuburi kampeni nyingine ikija wataitwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…