Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

Burna boy kakanusha hizo taarifa on camera, why huyu mtoto wa kiCongo alielowea Tanzania hataki kwenda kukanusha?

Hata ungekuwa wewe umepakwa mafuta na Diddy ,ungekubali? We kuweza? Wale waliombaka Binti wa Yombo pamoja na kuonekana kwenye video lakini walikna sio wao sembuse Burna aliyepakwa mafuta gizani?
 
Hata ungekuwa wewe umepakwa mafuta na Diddy ,ungekubali? We kuweza? Wale waliombaka Binti wa Yombo pamoja na kuonekana kwenye video lakini walikna sio wao sembuse Burna aliyepakwa mafuta gizani?
Davido Grammy nominee, mwaka 2018 inasemeka alihang out na Didy kwa vipindi tofauti

Wizkid mpaka kaamua apumzike muziki tena huyu mpaka Grammy anazo alizunguka sana na Didy

Falz nae alikua anampamba Didy

Una maanisha hao nao kawatibua tope?
 
People are still laughing and making jokes because this is what they do. They take something with no proof, and use it to ruin someone’s reputation. Even if he was proven not to be involved, people would post the lies anyway.
 
Hata akipumzika miaka 10 ila akirudi tu lazima wana wamkumbushie issue ya Diddy,itabid arudi tena mapumzikoni.
 
Yaani aache kufanya kazi zake kisa ni nini? Bill na kodi nani atamlipia akikaa kimya? Diamond ni mfanyabiashara,na biashara yoyote ina changamoto,changamoto zenyewe ni pamoja hili analopitia,ilq hakuna jipya.
 
Hata ungekuwa wewe umepakwa mafuta na Diddy ,ungekubali? We kuweza? Wale waliombaka Binti wa Yombo pamoja na kuonekana kwenye video lakini walikna sio wao sembuse Burna aliyepakwa mafuta gizani?
We ulikuwepo kwa Pdidy
 
Huwezi kufanikiwa kwa kuogopa mawazo au niseme kukosolewa na watu wengine
 
Reactions: M45
Kwa hiyo unaungana na adui zake kuwa amepakwa mafuta na nabii Pdiddy?
 
Ni lini anakawenda kumtembelea shemegi yetu Ali Msomali gerezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…