Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

Mbona ngoma zake za Yatapita na Zuwena zimefanya vizuri na zimekuwa hits songs?
 
Pale unapo lazimisha mawazo yako kuwa ni ya watu wote lkn namba kwenye digital platforms zinakushangaa. Mwamba anakimbiza digital platforms zote, hapo ndipo ujue kama umemchoka ni wewe.
Amesema kinachombeba umaarufu tu pinga hoja sio blababla🏃🏃
 
Isemee nafsi yako sio tumemchoka,halfu unavyozidi kuwa na wivu,roho mbaya ndivyo unavyozidi kuwa masikini take it from me
 
Amesema kinachombeba umaarufu tu pinga hoja sio blababla🏃🏃
Sasa kuna hoja zinazidi number? Mimi nimeongea kwa number,kama una hoja based on quantity ziweke hapa. Mnaendeshwa na hisia zenu binafsi huku mkibishana na uhalisia na uhalisia ndio hizo number na nyimbo hazina hata mwezi. Halafu uzuri hata ukimchukia wewe binafsi haumpunguzii kitu.

 
Muziki ndio uko hivyo. Ni kama umemsikilize Usher Raymond. Sasa anaweza kutoa wimbo mzuri lakini ile shauku ya wasikilizaji inakuwa haipo kama zamani.
Wapumbavu wanamshambulia mleta mada kama kweli ana chuki na huyo Msanii, akili zingine bhana [emoji3]
 
Acha kumsikiliza Diamond, msikilize Ally Kiba...!
Kwa nini uteseke?
 
Diamond kwa sasa hana mvuto kama miaka mitatu nyuma, Ubunifu unatakiwa sana sasa hivi, kipindi cha African Beauty, Marry You, Iyena , Halellujah huwezi ukamfananisha na Diamond wa Zuwena. Huu ndio ukweli lakini kwa sababu Mapenzi ni upofu bado watu watamtukana na kumsema vibaya muanzisha uzi.
 
kwanini uwasamehe wengi kwani kuna mtu kakwmbia uwasemehe au
 
Una uhakika hauzi kuliko hao ambao Sauti hazijachokwa ?

Nadhani utaona jibu hapo juu lina-contradict hitimisho lako.....
 
Ni kweli hakuna mji udumuo milele.. kila jambo lina wakati wake..
 
Acheni masihara kinachombeba diamond ni kuwa ana fanbase kuubwa sana nampongeza sana kwa hilo, so support anayopata kwenye media platform zote huwa ni kuubwa as always ila tusijitie upofu kusema diamond huyu ndo diamond wa miaka mitatu nyuma hivi kweli zuwena unaweza kuifananisha na salome, au iyena au nitarejea au nimpende nani basi achana na zuwena nitajie nyimbo yake nyingne ya karibuni unayoweza kuifananisha na hizo, Nyimbo zake nowdays ni za kutrend wiki, wiki mbili then shwaaaa
 
Una uhakika hauzi kuliko hao ambao Sauti hazijachokwa ?

Nadhani utaona jibu hapo juu lina-contradict hitimisho lako.....
Kuuza anauza tena kuliko wasanii wote tanznia, ila kwenye kuuza inategemea na wateja ulio nao, kwa diamond ameshajitengenezea loyal fanbase kubwaa kuliko msanii yeyote Tanznia na east africa. Ila mwisha wa siku tunarudi pale pale uwezo wake umepungua sana nyimbk anazoimba nowdays ni za kawaida.
 
Kwahio hao hawajamchoka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…