Mimi ni shabiki wa mondi tangu anatoka bro mondi wa enzi za nyuma si sawa na wa sasa hata kidogo. Mondi alikua balaa akitoa nyimbo huwa nyimbo ya taifa tena itatrend si chini ya miezi sita, mfano Utanipenda, Eneka, African beuty, kwangwaru, kidogo, halleluyah, iyena, ntampata wapi, Marry you na nyinginezo halafu fananisha na hizi za sasa hivi Gidi, kwenye FOA ukiitoa mtasubiri nyingne sio za level yake, zuwena, my baby, Jugni, kanyaga na nyingnezo. Kama utafikiria bila ushabiki utaona ukweli ulivo.