Shukrani Mkuu kwa utayari wako...All the best mkuu
Ukiwa serious kuna contact nayoweza kukupa ambayo ipo kwenye hiyo industry mkuu
Mkuu Unabishana na Mtoto Achana naye hata ukimwambia huyo Diamond nyimbo yake ya Kwanza atakuambia Kamwambie 😅😅Kwa hio unakataa J Nature hajawahi kufanya show South Africa na kipindi hicho anasimamiwa na Saidi Fella?
Teknolojia ya kipindi Cha kanumba ilikuwa low sana compared na saiziYeah sina akili tena sana tu lakini vipi kuhusu wewe unaedhani movie za kanumba za mtoto mchawi zilihitaji kuwa na invention kubwa kama za marvel studios?..
Kwanza kilichobadilika sana ni camera quality tu. Tukiangalia movies storylines, camera angles, transitions , ubora wa waigizaji na script wala hautofautiani na ule wa wakati wa kanumba
Au unataka kusema kanumba hakuwa na teknolojia kubwa ya kutengeneza movie ambazo ni international success kama Neria, tsotsi au Nairobi half life ambazo zipo relevant hadi leo
Hata hivyo usijibishane na mtu ambaye hana akili, sawa genius [emoji16]
Bora umesema huyo hio 2007 yenyewe anaisikia kwenye bomba, hata hajui kulikua na nini huko Mwaka 2007 kiufupi hakuwepo kabisaMkuu Unabishana na Mtoto Achana naye hata ukimwambia huyo Diamond nyimbo yake ya Kwanza atakuambia Kamwambie 😅😅
Na hata ukimuuliza Aliyekuwa anamsimamia Diamond nani kipind anatoka hana Jibu..
Anachojua ni mziki wa Kuanzia Mwaka 2012 kuja huku..
Ukiuliza Kolabu Za nje wa kwanza kufanya Tanzania Hajui kuwa hata kina AY ndo wa kwanza kufanya hivyo na kina Sean kingston,Romeo n.k..
Mtoto wa Juzi hawezi kujua Kitu Kazaliwa mwaka 2004 na kakua miaka ya 2007 (Sawa na mjukuu wangu)
Hawezi kujua kuhusu Ulimwengu wa Zaman..
Kama anabisha muulize akutajie Nyimbo Ya Sugu ya zaman kabla hajastaff na kurudi
Huna ushahidi acha kujitia ujuaji bwana mdogo utaumbuka,Yaah anewahi ...lkn hakuna wimbo wa kiroboto ulioenda viral..had ulaya
Pamoja mkuu 🙏🏽Shukrani Mkuu kwa utayari wako...
Kwasasa nataka nistudy japo kujua abc za hiyo biashara ili hata kama nitaingia Benki kuongeza nguvu niwe na uhakika kama hela ya watu itarudi
Ubarikiwe sana 🙏
🙏🙏🙏Pamoja mkuu 🙏🏽
Alikua na mpango ila huo umeme haujawahi kuwepo, ila lile wazo lake limepelekea kuwa na mawasiliano ya simu za mkononi, radio na internet. Unamzungumzia Nicola Tesla sioMfano....Kuna mwanasayansi alikuwa alikuwa na mpango wa kumbuka Umeme wireless..alivyokufa tu ....Hadi now haujagunduliwa
Tunataka kuona tukishiriki tuzo za grammiesGeneration ya 2000s ndio imefanya mziki wa Tanzania unasikika Hadi abroad
Wao wanafikiri wakina mondi,konde nk ndy wameqnzisha mzikiUnaweza bishana na mtu kumbe wakati TID au Mr Nice yupo kwenye peak. Alikuwa hajazaliwa au hata akili ya kutambua muziki ameipata Diamond akiwa kwenye peak
Yaah mkuu ..labda angekuwapo ..angefanikisha...si unajua jamaa alikuwa?Alikua na mpango ila huo umeme haujawahi kuwepo, ila lile wazo lake limepelekea kuwa na mawasiliano ya simu za mkononi, radio na internet. Unamzungumzia Nicola Tesla sio
Ni suala la muda .... unadhani ni nani ataleta Grammy zaidi ya la masimba dangoteTunataka kuona tukishiriki tuzo za grammies
Achana tuzo zile za watu binafsi
Tatizo vijana wa 2000 hawataki kuwa appreciate waliyoanza kupambania
Mziki miaka 90 huko
Kuna watu tokea zamani wamekuwa wakifanya show nje wakina remi ongala,wakina Patrick balisidya,tatu nane,wakina jaguar sjui Jack simela
Wale waimba mnanda
Ukija rap wakina sugu,xplastaz nk wote hao walitangqza mziki njeee
So hakuna cha akifa fulani basi mziki utakufa wamekufa wakina Michael Jackson,elvis presley ,watu wa the beatles nq mziki bado upo tu
Ova
Ahaa,Labda kama angekufa miaka mitano iliyopita. Kwa sasa wanamuziki wengi na wadau wengine wameshaiga karibu kila kitu cha Diamond & WCB ikiwa ni pamoja na kuongezea ubunifu wao kwahiyo muziki uko salama. Kanumba alifariki mapema kabla hajafanikisha mambo muhimu.
Asahau hivi unafikiri tuzo ya GrammyNi suala la muda .... unadhani ni nani ataleta Grammy zaidi ya la masimba dangote