Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

All the best mkuu

Ukiwa serious kuna contact nayoweza kukupa ambayo ipo kwenye hiyo industry mkuu
Shukrani Mkuu kwa utayari wako...

Kwasasa nataka nistudy japo kujua abc za hiyo biashara ili hata kama nitaingia Benki kuongeza nguvu niwe na uhakika kama hela ya watu itarudi

Ubarikiwe sana 🙏
 
Kwa hio unakataa J Nature hajawahi kufanya show South Africa na kipindi hicho anasimamiwa na Saidi Fella?
Mkuu Unabishana na Mtoto Achana naye hata ukimwambia huyo Diamond nyimbo yake ya Kwanza atakuambia Kamwambie 😅😅
Na hata ukimuuliza Aliyekuwa anamsimamia Diamond nani kipind anatoka hana Jibu..

Anachojua ni mziki wa Kuanzia Mwaka 2012 kuja huku..
Ukiuliza Kolabu Za nje wa kwanza kufanya Tanzania Hajui kuwa hata kina AY ndo wa kwanza kufanya hivyo na kina Sean kingston,Romeo n.k..

Mtoto wa Juzi hawezi kujua Kitu Kazaliwa mwaka 2004 na kakua miaka ya 2007 (Sawa na mjukuu wangu)
Hawezi kujua kuhusu Ulimwengu wa Zaman..

Kama anabisha muulize akutajie Nyimbo Ya Sugu ya zaman kabla hajastaff na kurudi
 
Kwa hio unakataa J Nature hajawahi kufanya show South Africa na kipindi hicho anasimamiwa na Saidi Fella?
Yaah anewahi ...lkn hakuna wimbo wa kiroboto ulioenda viral..had ulaya
 
Yeah sina akili tena sana tu lakini vipi kuhusu wewe unaedhani movie za kanumba za mtoto mchawi zilihitaji kuwa na invention kubwa kama za marvel studios?..

Kwanza kilichobadilika sana ni camera quality tu. Tukiangalia movies storylines, camera angles, transitions , ubora wa waigizaji na script wala hautofautiani na ule wa wakati wa kanumba

Au unataka kusema kanumba hakuwa na teknolojia kubwa ya kutengeneza movie ambazo ni international success kama Neria, tsotsi au Nairobi half life ambazo zipo relevant hadi leo

Hata hivyo usijibishane na mtu ambaye hana akili, sawa genius [emoji16]
Teknolojia ya kipindi Cha kanumba ilikuwa low sana compared na saizi
 
Mkuu Unabishana na Mtoto Achana naye hata ukimwambia huyo Diamond nyimbo yake ya Kwanza atakuambia Kamwambie 😅😅
Na hata ukimuuliza Aliyekuwa anamsimamia Diamond nani kipind anatoka hana Jibu..

Anachojua ni mziki wa Kuanzia Mwaka 2012 kuja huku..
Ukiuliza Kolabu Za nje wa kwanza kufanya Tanzania Hajui kuwa hata kina AY ndo wa kwanza kufanya hivyo na kina Sean kingston,Romeo n.k..

Mtoto wa Juzi hawezi kujua Kitu Kazaliwa mwaka 2004 na kakua miaka ya 2007 (Sawa na mjukuu wangu)
Hawezi kujua kuhusu Ulimwengu wa Zaman..

Kama anabisha muulize akutajie Nyimbo Ya Sugu ya zaman kabla hajastaff na kurudi
Bora umesema huyo hio 2007 yenyewe anaisikia kwenye bomba, hata hajui kulikua na nini huko Mwaka 2007 kiufupi hakuwepo kabisa
 
Nakupinga kwa hoja.....
Kusema diamond akifariki na mziki wa bongo utashuka si sahihi kwani Tayari -
  • Tanzania imeshatambulika kimataifa ndio maana akina konde wanaenda kuchukua tuzo za kimataifa mara nyingi tu.
  • media haziwezi kukosa kitu cha kupost hata siku moja, Yaani akina kimambi na akina Ayo wanaelewa wanachokifanya so that gon be not a problem.
  • Wasanii waliopo wanaukimbiza mziki vizuri kabisa, waangalie akina mario, akina chino, wanavyofanya vizuri.
  • Chance za collable na wasanii wa nje zipo wazi sana.
We appreciate the job done by Naseeb Abdul in his struggle to take our music to the next level, yet he has done a great great job, Lakini kusema akifa na mziki umekufa thats nah true.
 
Shukrani Mkuu kwa utayari wako...

Kwasasa nataka nistudy japo kujua abc za hiyo biashara ili hata kama nitaingia Benki kuongeza nguvu niwe na uhakika kama hela ya watu itarudi

Ubarikiwe sana 🙏
Pamoja mkuu 🙏🏽
 
Mfano....Kuna mwanasayansi alikuwa alikuwa na mpango wa kumbuka Umeme wireless..alivyokufa tu ....Hadi now haujagunduliwa
Alikua na mpango ila huo umeme haujawahi kuwepo, ila lile wazo lake limepelekea kuwa na mawasiliano ya simu za mkononi, radio na internet. Unamzungumzia Nicola Tesla sio
 
Generation ya 2000s ndio imefanya mziki wa Tanzania unasikika Hadi abroad
Tunataka kuona tukishiriki tuzo za grammies
Achana tuzo zile za watu binafsi

Tatizo vijana wa 2000 hawataki kuwa appreciate waliyoanza kupambania
Mziki miaka 90 huko
Kuna watu tokea zamani wamekuwa wakifanya show nje wakina remi ongala,wakina Patrick balisidya,tatu nane,wakina jaguar sjui Jack simela
Wale waimba mnanda
Ukija rap wakina sugu,xplastaz nk wote hao walitangqza mziki njeee

So hakuna cha akifa fulani basi mziki utakufa wamekufa wakina Michael Jackson,elvis presley ,watu wa the beatles nq mziki bado upo tu

Ova
 
Unaweza bishana na mtu kumbe wakati TID au Mr Nice yupo kwenye peak. Alikuwa hajazaliwa au hata akili ya kutambua muziki ameipata Diamond akiwa kwenye peak
Wao wanafikiri wakina mondi,konde nk ndy wameqnzisha mziki
Wakati wao walipokea kijiti tu
Watoto wa 2000 hawataki kabisa kuwakubali malegends wa mziki wa bongo hawajui bila wao mziki sah usingekuwa hapa

Ova
 
Labda kama angekufa miaka mitano iliyopita. Kwa sasa wanamuziki wengi na wadau wengine wameshaiga karibu kila kitu cha Diamond & WCB ikiwa ni pamoja na kuongezea ubunifu wao kwahiyo muziki uko salama. Kanumba alifariki mapema kabla hajafanikisha mambo muhimu.
 
Alikua na mpango ila huo umeme haujawahi kuwepo, ila lile wazo lake limepelekea kuwa na mawasiliano ya simu za mkononi, radio na internet. Unamzungumzia Nicola Tesla sio
Yaah mkuu ..labda angekuwapo ..angefanikisha...si unajua jamaa alikuwa?
 
Tunataka kuona tukishiriki tuzo za grammies
Achana tuzo zile za watu binafsi

Tatizo vijana wa 2000 hawataki kuwa appreciate waliyoanza kupambania
Mziki miaka 90 huko
Kuna watu tokea zamani wamekuwa wakifanya show nje wakina remi ongala,wakina Patrick balisidya,tatu nane,wakina jaguar sjui Jack simela
Wale waimba mnanda
Ukija rap wakina sugu,xplastaz nk wote hao walitangqza mziki njeee

So hakuna cha akifa fulani basi mziki utakufa wamekufa wakina Michael Jackson,elvis presley ,watu wa the beatles nq mziki bado upo tu

Ova
Ni suala la muda .... unadhani ni nani ataleta Grammy zaidi ya la masimba dangote
 
Labda kama angekufa miaka mitano iliyopita. Kwa sasa wanamuziki wengi na wadau wengine wameshaiga karibu kila kitu cha Diamond & WCB ikiwa ni pamoja na kuongezea ubunifu wao kwahiyo muziki uko salama. Kanumba alifariki mapema kabla hajafanikisha mambo muhimu.
Ahaa,
 
Ni suala la muda .... unadhani ni nani ataleta Grammy zaidi ya la masimba dangote
Asahau hivi unafikiri tuzo ya Grammy
Ziko kama tuzo za watu binafsi zile sjui afrimaa nk
Mpaka kushiriki tu kuna taratibu lazima zifatwe

Ova
 
Back
Top Bottom