Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

😅Basi Bora iwe hivyo
 
Ni kama alivyoondoka Kanumba na maigizo yake.

Pamoja na kupata sapoti kubwa kutoka Azam Media lakini bado sekta ya Uigizaji Bongo imekosa mtu wa kuziba pengo lake.

Ushauri wangu;
Vyema Diamond Platinumz aanze kumuandaa Diamond mwingine kwaajili ya kuendeleza Mziki wa Bongo
 
Kabisa mkuu...bongo movie inahitaji support kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…