Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Alikufa tupac,mbaraka mwinshehe,michael jackson,tafakari
 
Kabisa Mkuu

Wenzetu Wazungu wamepiga hatua sana, angalia Kampuni ya Chakula ya McDonald's pamoja na kuanzishwa miaka mingi iliyopita lakini ipo hadi leo hii na ndiyo kwanza inazidi kufungua branches kila siku hadi kwetu huku Bongo
Duuuuh kumbe ya kitambo tu
 
Kwamba alikiba Hana mtv [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] unazingua ujue ujue kiba alibeba tuzo mbele ya wizkid au umesahau
Ile tuzo Kuna msanii alipew .....but after mwezi mmoja ikachukuliwa ndo akapewa kiba...
 
Nakuomba kwenye hii list mtoe Millard Ayo. Tafadhali
Hivi unajua Millard ayo zaman hkuwah ku post info zozote za mond ....lkn Baada ya kuanza kumuandika mond ...ndipo aliposhuhudia mafuriko ya views na subscribers Kwa account ake
 
Duuuuh kumbe ya kitambo tu
Ndiyo, nimesoma Mtandaoni taarifa inaonesha Kampuni hii ilianzishwa mwaka 1940.

Hii ina maana kufikia mwaka huu 2024 Kampuni imefikisha miaka 84 toka kuanzishwa kwake.

Wabongo tukiacha Umimi tunaweza kufika mbali

Angalia Kampuni ya Mzee Mengi ya IPP, asingekuwa ameweka succession plan pengine kufikia mwaka huu ingekuwa imeshajifia baada ya kifo cha Mzee mwaka 2019
 
Duuuh kweli ni hatari
 
Alikufa tupac,mbaraka mwinshehe,michael jackson,tafakari
Tupac..Michel Jackson.. level yao ni ya kidunia ( mbali sana)

Hao kina mwinshehe .. walikuwa na impacts Gani ???
 
Back
Top Bottom