Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Sio kweli [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]nenda kagoogle utapata majibu
Ali Kiba Gets Award that Was Wrongfully Given to Wizkid

Tanzanian singer Ali Kiba has been given the Best African Act award after days of public outcry from Tanzanians. Votes showed that Ali Kiba was leading but the organisers gave Wizkid the trophy. Wizkid has since deleted all Instagram posts regarding the award.

Majibu hayo apo ........hiyo tuzo alipew wiz kid ....then akapewa alikiba Nadhani umepata jibu
 
We bwana endelea kula parachichi...
Karibu[emoji23]
IMG_20231029_135944_138.jpg
 
Hoja yako ni pointless.

Hujui jinsi maisha yanavoenda.

Huujui muzikI jinsi unavoenda.

Muziki hauwez kufa kisa msanii mmoja mkubwa amekufa.

Drake kwa sasa statistically kamfikia Michael Jackson, tuseme ndo leading artist USA, kwa mtazamo wako Drake akifa muziki wa USA utakufa sio??
Unamjua Taylor swift, kafanya tour ambayo Wall Street journal wamesema ime contribute $5.7B kweny uchumi wa USA, just imagine msanii analeta effect kweny uchumi wa nchi kama marekani, Je, na huyu akifa muziki wa USA utakufa?? HAPANA, muziki hauwez kufa, yaan hata uwe mkubwa vipi kuna mtu atakuja kukuzidi tuu na kufanya makubwa zaidi yako.

Unawajua "The Beetles", unamjua "Elvis Presley" unawajua "Queen" na "Fredy Mercury" unawajua "Led Zeppelin" unamjua "Michael Jackson"???

Kweny hio list nadhani utakuwa unamjua Michael Jackson tuu, hao wote walikuwa na umaarufu mkubwa sana na watu walisema hivohivo kama wewe kwamba wakifa mziki utakufa, lakini wapi mziki wa USA bado unadunda, The Beetles walifika kipindi wakasema wao ni maarufu kuliko Yesu, hivi unaelewa jinsi hawa watu walivokuwa wana impact kweny muziki hadi wanadiriki kuongea hayo maneno??
Las Vegas ni state ambayo culture yake ime base kwa msanii "Elvis Presley", just imagine ukubwa wa huyo mtu na bado alivokufa muziki umeendelea.

Ukifa watu wata lia, but people heal na mwisho wa siku watakusahau tuu na maisha yataendelea tuu.
 
Ali Kiba Gets Award that Was Wrongfully Given to Wizkid

Tanzanian singer Ali Kiba has been given the Best African Act award after days of public outcry from Tanzanians. Votes showed that Ali Kiba was leading but the organisers gave Wizkid the trophy. Wizkid has since deleted all Instagram posts regarding the award.

Majibu hayo apo ........hiyo tuzo alipew wiz kid ....then akapewa alikiba Nadhani umepata jibu
Uwongo 🤣😂😁😁
 
Hoja yako ni pointless.

Hujui jinsi maisha yanavoenda.

Huujui muzikI jinsi unavoenda.

Muziki hauwez kufa kisa msanii mmoja mkubwa amekufa.

Drake kwa sasa statistically kamfikia Michael Jackson, tuseme ndo leading artist USA, kwa mtazamo wako Drake akifa muziki wa USA utakufa sio??
Unamjua Taylor swift, kafanya tour ambayo Wall Street journal wamesema ime contribute $5.7B kweny uchumi wa USA, just imagine msanii analeta effect kweny uchumi wa nchi kama marekani, Je, na huyu akifa muziki wa USA utakufa?? HAPANA, muziki hauwez kufa, yaan hata uwe mkubwa vipi kuna mtu atakuja kukuzidi tuu na kufanya makubwa zaidi yako.

Unawajua "The Beetles", unamjua "Elvis Presley" unawajua "Queen" na "Fredy Mercury" unawajua "Led Zeppelin" unamjua "Michael Jackson"???

Kweny hio list nadhani utakuwa unamjua Michael Jackson tuu, hao wote walikuwa na umaarufu mkubwa sana na watu walisema hivohivo kama wewe kwamba wakifa mziki utakufa, lakini wapi mziki wa USA bado unadunda, The Beetles walifika kipindi wakasema wao ni maarufu kuliko Yesu, hivi unaelewa jinsi hawa watu walivokuwa wana impact kweny muziki hadi wanadiriki kuongea hayo maneno??
Las Vegas ni state ambayo culture yake ime base kwa msanii "Elvis Presley", just imagine ukubwa wa huyo mtu na bado alivokufa muziki umeendelea.

Ukifa watu wata lia, but people heal na mwisho wa siku watakusahau tuu na maisha yataendelea tuu.
Naunga mkono hoja
 
Kweli tutapoteza mtu muhim ila kusema watu watafaili michongo hiyo ni uongo labda Mama Naseeb na Queen Darlin kama nawaona kamasi litakavowatoka.
 
Hoja yako ni pointless.

Hujui jinsi maisha yanavoenda.

Huujui muzikI jinsi unavoenda.

Muziki hauwez kufa kisa msanii mmoja mkubwa amekufa.

Drake kwa sasa statistically kamfikia Michael Jackson, tuseme ndo leading artist USA, kwa mtazamo wako Drake akifa muziki wa USA utakufa sio??
Unamjua Taylor swift, kafanya tour ambayo Wall Street journal wamesema ime contribute $5.7B kweny uchumi wa USA, just imagine msanii analeta effect kweny uchumi wa nchi kama marekani, Je, na huyu akifa muziki wa USA utakufa?? HAPANA, muziki hauwez kufa, yaan hata uwe mkubwa vipi kuna mtu atakuja kukuzidi tuu na kufanya makubwa zaidi yako.

Unawajua "The Beetles", unamjua "Elvis Presley" unawajua "Queen" na "Fredy Mercury" unawajua "Led Zeppelin" unamjua "Michael Jackson"???

Kweny hio list nadhani utakuwa unamjua Michael Jackson tuu, hao wote walikuwa na umaarufu mkubwa sana na watu walisema hivohivo kama wewe kwamba wakifa mziki utakufa, lakini wapi mziki wa USA bado unadunda, The Beetles walifika kipindi wakasema wao ni maarufu kuliko Yesu, hivi unaelewa jinsi hawa watu walivokuwa wana impact kweny muziki hadi wanadiriki kuongea hayo maneno??
Las Vegas ni state ambayo culture yake ime base kwa msanii "Elvis Presley", just imagine ukubwa wa huyo mtu na bado alivokufa muziki umeendelea.

Ukifa watu wata lia, but people heal na mwisho wa siku watakusahau tuu na maisha yataendelea tuu.
Umeeleza kirefu na fact ....but huku kwetu ni tofauti kuliko huko marekani

Ngoja Nikupe ukweli

Hivi unaelewa kuwa kabla ya mondi kuchipukia ....hii east Africa kimuziki ilikuwa dominated na uganda ( chameleon, radio na weasel) ......na Kenya ....kina jaguar......

Je hao wasanii mnaosema walikuwepo Kwann hawakutamba dhidi ya hao waganda
 
Hivi unajua Millard ayo zaman hkuwah ku post info zozote za mond ....lkn Baada ya kuanza kumuandika mond ...ndipo aliposhuhudia mafuriko ya views na subscribers Kwa account ake
Hatukatai Mond anaongeza views kwa content zinazomuhusu ila Millard Ayo hategemei hivyo tu. Usitegemee akateterela ana mtandao mkubwa wa kukusanya habari sio mambo ya Mond peke yake
 
Umeeleza kirefu na fact ....but huku kwetu ni tofauti kuliko huko marekani

Ngoja Nikupe ukweli

Hivi unaelewa kuwa kabla ya mondi kuchipukia ....hii east Africa kimuziki ilikuwa dominated na uganda ( chameleon, radio na weasel) ......na Kenya ....kina jaguar......

Je hao wasanii mnaosema walikuwepo Kwann hawakutamba dhidi ya hao waganda
Kipindi cha nyuma mashindano ya miss tanzania analetwa msanii kutoka uganda afanya perfomance😂😂
 
Back
Top Bottom