mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
HumfahamuHana legacy yeyote kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HumfahamuHana legacy yeyote kimataifa
Hivi kipaji chochote nani anampa mwanadamu nani kakuambia Mungu anaangalia mavazi sawa tuseme anaangalia mavazi ila ni Mungu ndio anatoa vipaji vya kila kitu mawazo mengi ni roho mtakatifu anakupa yale mazuri . Yale mabaya ni shetani anakupa , halafu unapewa kipaji chako ambacho ni talanta yako halafu unakuwa na heshima mwanzoni unaanza kuvaa kiajabu,unaanza kuvuta madawa mwisho unajiua kwa maana unashauriwa na shetani umfuate.Mungu anahusika vipi hapo na music wa wavaa vichupi na matusi..?
Nature abhors a vacuum.Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Kwo mond ndo anashindana na Davido akisema simba la masimba aujui???But kimataifa itakuwa hatutakua na ushindani
Haya mashairi ya "" I go die fo u hayawezi kushindana na kina davido[emoji23]
empty spaces or voids tend to be filled by matter spontaneously.Nature abhors a vacuum.
Hamna anayependa kukimbia Duniani hapa mkuu[emoji23]sema diamond angekua mjanja angekufa miaka minne ilioyopita alikua wamoto sana kipindi hicho msiba wake ungekua mkubwa kuliko wa kanumba ungetikisa afrika nzima kama msiba wa mwalimu pia pengo lake lisingezibika
ila kwa sasa jamaa hana jambo barani afrika nyumbani pia anakimbizana na madogo na wanamkalisha kiufupi kaua brand ila atabaki kua icon wa mzik wa bongo
SawaYaaah mkuu....kizazi Cha 2000 ndio morden generation zaidi
Yaani bunaboy aache kufanya show mwenye majukwaa makubwa London huko aanze kuumizwa na show za sumbawanga broo unawajua wanigeria au umetoka usingiziniMond pekee ndiye anawaumiza vichwa wa niger