cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Naujua kuliko unavyojijua wenyewe.Music umeanza kuujua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naujua kuliko unavyojijua wenyewe.Music umeanza kuujua?
Kuweka jina la Diamond na Ruge mutahaba kwenye sentence moja ni kumshushia hadhi Ruge..Diamond ni Ruge ajaye, tulieni mtanambia.
Kufa kwa bongo movies ni kutokana na kukosekana kwa msambazaji haswa baada ya steps kuyumba ila sio kwa sababu ya Steven kanumbaNi kama alivyoondoka Kanumba na maigizo yake.
Pamoja na kupata sapoti kubwa kutoka Azam Media lakini bado sekta ya Uigizaji Bongo imekosa mtu wa kuziba pengo lake.
Ushauri wangu;
Vyema Diamond Platinumz aanze kumuandaa Diamond mwingine kwaajili ya kuendeleza Mziki wa Bongo
Steven alikuwa na rekodi gani ukitoa influence na umaarufuBado haijavunjs rekodi ya steven
So unaona lakin bongo movie chalii😳kumbe? Na kwa Kanumba walisema ivoivo
Mambo ya fesibuku unayaleta huku kweliDiamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Basi inabidi alindwe na kutunzwa asife maisha yake yote😄Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Umeeleza kirefu na fact ....but huku kwetu ni tofauti kuliko huko marekani
Ngoja Nikupe ukweli
Hivi unaelewa kuwa kabla ya mondi kuchipukia ....hii east Africa kimuziki ilikuwa dominated na uganda ( chameleon, radio na weasel) ......na Kenya ....kina jaguar......
Je hao wasanii mnaosema walikuwepo Kwann hawakutamba dhidi ya hao waganda
Ruge alikuwa na fitna...( Roho ya kwanini).Kuweka jina la Diamond na Ruge mutahaba kwenye sentence moja ni kumshushia hadhi Ruge..
Diamond hana akili, elimu, exposure, influence wala connection alizokuwa nazo Ruge
Ruge alikuwa karibu kwenye kila kitu unachokijua wewe mjini, kwenye movies, media, modelling, mashindano ya urembo, kampeni za siasa etc
Diamond ni kipaji, Ruge ni mpika vipaji ndio maana hata Nyuma ya Diamond kulikuwa na jina lake. Muacheni jamaa apumzike kwa amani tu
Hauko serious mzeeSteven alikuwa na rekodi gani ukitoa influence na umaarufu
Alikuwa aggressive na passionate kuliko wengi kiasi cha kuongeza ushindani. Lakini ukitoa movies alizotoa na Game first quality ambaye hadi leo yupo hai,
Kuna movies gani alifanya ambazo unaweza kuzishindanisha na za napoleon au seko kwa kufanya vizuri kwenye cinemas ulimwenguni??....