mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kizaz hiki wanafikiri huyo mondi ndy alianzisha mziki wakati kuna watu walianza harakati kitambo na kuingiza mziki kwenye biasharaWewe utakuwa una miaka 18 sasa!
Diamond aliukuta mziki wala hakuanzisha! Diamond alishikwa mkono na watu kwenye huu muziki na amefika hapo kwakuwa kuna watu walikuwa wanajua zaidi yake!
Hata akifa leo kila kitu kitaendelea! Alikuwepo Kanumba mkali wa Movie na sasa kuna wwngine wakali wa series!
Ova