Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe akili zako zimeyumba .....hao wasanii uliowataja ...Wana mchango Gani mkubwa Kwa muziki wa TZWewe inaonekana ni kizazi cha 2000-2005 na kama ni chini ya hapo bhasi hata muziki huujui
Hujaona kipindi TID, Mr. Nice, MB Dog, Marlaw, CP, AY, Lady Jay Dee, Ray C, wakiwa kwenye peak
Muziki wa bongo umeanza kufanya Domination East Africa na Eastern Congo kitambo sana. I rest my case
Huna unalolijua kwenye mziki zaidi ya ushabiki wa WCB
Mbona ni kama niliona msambazaji wa steps entertainment naye ameanza kuigiza nowadays au ndiyo kusema kazi ya distributions imekuwa ngumu ....Kufa kwa bongo movies ni kutokana na kukosekana kwa msambazaji haswa baada ya steps kuyumba ila sio kwa sababu ya Steven kanumba
Na hata ukifuatilia, game first quality bado aliendelea kuuzaa na JB bado aliendelea kutoa movies zilizohit kama chausiku na kuna ile kigodoro ya zamaradi. So, soko halikufa ila msambazaji nae alianguka around the same time
By the way, kwa sasa kuna watu kama Napoleon na seko shamte ambao wanatengeneza movies za kwenda kwenye global audience na zinafanya vizuri. Issue ni msambazaji na bahati nzuri serikali yenu unaijua, ingekuwa nchi zingine, serikali ingeshaingia chap maana hapo ni ajira za watu zinazungumziwa
Labda ameona waigizaji hawa fit ( wanazingua)Mbona ni kama niliona msambazaji wa steps entertainment naye ameanza kuigiza nowadays au ndiyo kusema kazi ya distributions imekuwa ngumu ....
Muhimu hiyo sekta ya Muziki nao wajifanyie tathmini ili nayo isije ikaanguka kama sekta ya filamu
Sio kwamba naye anafata maokoto huko as wanalipwa na Azam media kwa kuuza kazi zao kuleLabda ameona waigizaji hawa fit ( wanazingua)
Vyovyote vile ila nyuz zako za yanga yanga zilikua nying sana hapa karibunKivp mkuu....mm siyo mshabiki wa yanga
Hebu afe tu ili andiko lako litimieHapana mkuu...but ana channel za mziki
Natamani Niku one😂🤣😀😀, huenda ni wale wale😂Ndio maana mnanenepa bila mopangilio vitufe nyie!
Muziki tayari wana online platforms na zinawalipa. Film ni hizo streaming service kama Netflix lakini huko ubora ujazingatiwa kwa hiyo kidogo inakuwa ngumuMbona ni kama niliona msambazaji wa steps entertainment naye ameanza kuigiza nowadays au ndiyo kusema kazi ya distributions imekuwa ngumu ....
Muhimu hiyo sekta ya Muziki nao wajifanyie tathmini ili nayo isije ikaanguka kama sekta ya filamu
Dunia ya sasa ukiimba ujinga ujinga ushog ushog lazima upewe supportAlikiba anaimba mashairi mazuri
Mondi haimbi mashairi mazuri
Je nani Yuko mbali kimafanikio[emoji23][emoji23]
.....msanii anaimba kulingana na hadhira inahitaji Nini
Wametuongezea tu wajng na mashg wengi tuJeje kutuku jejeje, nyege nyegezi...ni upuuzi ambao hata vichaa hushangaa kuwa aliyeimba na wasikilizaji wa hizo nyimbo wana utimamu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimekuambia wewe muziki hujuiBila shaka wewe akili zako zimeyumba .....hao wasanii uliowataja ...Wana mchango Gani mkubwa Kwa muziki wa TZ
Mchango wa La masimba
Katoa wasanii wakubwa tz ...rayvanny ... harmonize....zuchu....Dvoice
Kaleta tuzo mbali mbali za kimataifa hivyo kuitangaza nchi
Kaleta ajira kupitia media zake