Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Wewe utakuwa una miaka 18 sasa!
Diamond aliukuta mziki wala hakuanzisha! Diamond alishikwa mkono na watu kwenye huu muziki na amefika hapo kwakuwa kuna watu walikuwa wanajua zaidi yake!
Hata akifa leo kila kitu kitaendelea! Alikuwepo Kanumba mkali wa Movie na sasa kuna wwngine wakali wa series!
Kizaz hiki wanafikiri huyo mondi ndy alianzisha mziki wakati kuna watu walianza harakati kitambo na kuingiza mziki kwenye biashara

Ova
 
Hauko serious mzee
Usipayuke tu.. Nenda na facts

Au unadhani hapa upo kijiweni brooo

Mimi ni fan wa Steven, sijui kama kuna movie aliyoitoa sikuiangalia ndio maana nakuambia

Kanumba ni influence, hardwork na aggressiveness

Ila kwenye Quality ya kazi na records, ni kawaida.

Wewe sasa ndio unioneshe kazi yake gani unaona inazidi ubora wa Vuta Nkuvute, Going Bongo au Homecoming

Hata hivyo sioni unachoongea. Uwe na siku njema die hard fan wa mondi
 
Ndio maana nimekuambia wewe muziki hujui

Wenzio tumeanza kufuatilia tuzo za Kora na msanii kama Lady jay dee alishapata toka first album

Diamond ni commercial artist hivyo ana impact kibiashara ila kwenye genre ya bongo flava hajaweka impact yoyote zaidi ya kuwa copy cat

Nikikuambia uniletee Diamond platinumz sound unaweza nionesha, vipi kuhusu mb dog, chillah, Juma Nature au TID

Respect the OGs kijana
Kizaz hiki waliyozaliwa 2000 hawawezi kukuelewa mkuu

Unaweza bishana na mtu kumbe wakati TID au Mr Nice yupo kwenye peak. Alikuwa hajazaliwa au hata akili ya kutambua muziki ameipata Diamond akiwa kwenye peak
 
Usipayuke tu.. Nenda na facts

Au unadhani hapa upo kijiweni brooo

Mimi ni fan wa Steven, sijui kama kuna movie aliyoitoa sikuiangalia ndio maana nakuambia

Kanumba ni influence, hardwork na aggressiveness

Ila kwenye Quality ya kazi na records, ni kawaida.

Wewe sasa ndio unioneshe kazi yake gani unaona inazidi ubora wa Vuta Nkuvute, Going Bongo au Homecoming

Hata hivyo sioni unachoongea. Uwe na siku njema die hard fan wa mondi
Ndio maana nmesema huna akili mkuu[emoji23][emoji23]

Yaani quality ya movie za kanumba mwaka 2011..enzi hizo . una compare na saizi .... invention imekuwa kubwa kwenye vifaa .....
 
Rejea heading yako ni Sawa useme presida wa TZ akidanja basi hakuna mwingine atakae ongoza TZ hayo ni mawazo matope toka ndani ya box,
 
Taifa linahasara kuwa na vijana kama nyie...
Wewe ni bichwabox huna akili, sipingani na ulichokiandika Ila uwasilishaji wako ni wa ovyo sio wa kisomo hiki sio kijiwe chenu cha visungura angalia unapoweka mada mezani onasomewa na nani na kuchambuliwa na nani, akili ndogo haikai na akili kubwa
 
Rejea heading yako ni Sawa useme presida wa TZ akidanja basi hakuna mwingine atakae ongoza TZ hayo ni mawazo matope toka ndani ya box,
Mfano wako ni irrelevant....Nchi ni taasisi mkuu.... haiwezi kukosa succession planning
 
Wewe ni bichwabox huna akili, sipingani na ulichokiandika Ila uwasilishaji wako ni wa ovyo sio wa kisomo hiki sio kijiwe chenu cha visungura angalia unapoweka mada mezani onasomewa na nani na kuchambuliwa na nani, akili ndogo haikai na akili kubwa
Watu kama nyie ni mzigo kwa taifa ....mna maliza oxygen ya tz
 
Mfano wako ni irrelevant....Nchi ni taasisi mkuu.... haiwezi kukosa succession planning
Nimekupa mfano hai kwani uliemtaja yupo kwenye nini kichuguu sio Nchi? Akili zero fikiri kabla ya kuandika
 
Back
Top Bottom