Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Sina hakika na hilo . Ila ninachojua mimi mwakani Malalamiko kwa tff na Karia lazima yawe mengi baada ya kupumzika kwa miaka hii miwili
Ungejua kuwa kadri muda unaenda .....ndivyo GSM anakuwa Unstoppable [emoji23]
 
Huyu ni msaka ugali tu.... sio shabiki wa simba!!! Manara mwenyewe yupo yanga kimwili, kiakili na kiroho ni simba
 
imagine PAPA alituma mwakilishi kupokea parade la WANANCHI we KOLO ni nani mpk ubishe 🤣
 
Hakuna mshabiki anahama tusidanganyane, kama yeye ni Yanga basi hajawahi kuwa shabiki wa Simba labda alikuja kudanga tu kama Manara alivyokwenda kudanga Yanga. Halafu mtu unahama kwa kushawishiwa na mdangaji huo ni wetu.
 
Kuna wengine mpira wanaujua ukubwani
 
Yanga ni kituo cha kupumzika, ukiwa na stress zako huko ulipo ukija Yanga unapewa tabasamu. Kwa hiyo wanamsimbazi mnakaribishwa kurest in peace huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…